Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Binti wa Kitanzania Getrude Clement aliyehutubuia kwa ustadi na umakini mkubwa sana huko Umoja wa Mataifa, New York, tofauti na wengi walivyokuwa wanadhania huyu binti kutokana na maneno yake yeye mwenyewe anasoma Shule ya Kata huko Mkoani Mwanza!
Hivyo Shule zetu ingawaje changamoto bado ni kubwa sana lkn tuna matumiani makubwa kama kuna aliyekuwa anatafuta ushahidi!!
Na huyu Binti amezidi kutudhibitishia kwamba Kiingereza ni Lugha tu na kuweza kuitumia huhitaji kuacha kutumia Lugha yako yako unaweza ukasoma kwa kutumia Kiswahili na bado Kiingereza ukakiweza tu!