Sikukuu ya Wafanyakazi LIVE Bunge Turn off

PRINCE CROWN

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,210
Reaction score
4,182
ukiyastaajabia ya mussa basi ya firauni yatakutia wazimu, ni msemotu wa wahenga, na sinema zinazoendelea kwenye nchi yetu.

Sasa kwanini wanarusha LIVE hawajui wengine leo wapo makanisani hawataona?

Kwanini kama kigezo cha kuzuia bunge ni kuwanyima wengine fursa ya kutizama kwa kigezo cha wapo katika majukum mengine, je! Serikali haijui kwamba wengine leo wapo makanisani?

Kwa nini basi kigezo kilichotumika kuondoa live bunge kisingetumika kuondoa sikukuu hiiya wafanyakazi kuonyeshwa live?

Naomba kuwasilisha.
 
kwa hili serikali ijitathimini upya, ni Haibu.
 
Wengine tupo home mkuu, acha figisu figusu wasije wakazima - bunge linaonyeshwa siku ya kazi na leo ni mapumziko - acha warushe live
 
Leo natembelea miradi yangu
 
kwan Leo mh hatumbui mtu kwa ajili ya coverage ya kesho
 
ukiyastaajabia ya mussa basi ya firauni yatakutia wazimu, ni msemotu wa wahenga, na sinema zinazoendelea kwenye nchi yetu.

Sasa kwanini wanarusha LIVE hawajui wengine leo wapo makanisani hawataona?

Kwanini kama kigezo cha kuzuia bunge ni kuwanyima wengine fursa ya kutizama kwa kigezo cha wapo katika majukum mengine, je! Serikali haijui kwamba wengine leo wapo makanisani?

Kwa nini basi kigezo kilichotumika kuondoa live bunge kisingetumika kuondoa sikukuu hiiya wafanyakazi kuonyeshwa live?

Naomba kuwasilisha.
Namsahauri Nape awambie tbc warekodi then watuoneshe usiku wa manane.
 
Wafanya kazi wa serikali naona wamenenepa sana. Raisi waambie wafanye mazoezi waepuke gharam za kutibiwa India
 
Kweli namie nimeona wamenenepa hata kutembea kwao shida, kingine nashangaa rais wa TUCTA Mgaya/Mkoba kaalika Wafanyakazi wa CCM tu na viongozi wa kisiasa kutoka CCM tu, naona TUCTA imerasimishwa 100% kuwa tawi la CCM
 
Wengine tupo home mkuu, acha figisu figusu wasije wakazima - bunge linaonyeshwa siku ya kazi na leo ni mapumziko - acha warushe live

Adi jioni unakuaga kazini kwanini kipindi cha jioni wasikioneshe live asubuhi ndo wakarekodi
 
Issue ni kufanyakazi huku unaangalia live, Leo ni mapumziko haina haja ya recording
 
Wabunge nao wanafanya kazi za wananchi kama taasisi zingine. Mbona hatuoni mkipiga kelele na walimu nao waoneshwe live au vikao vya baraza la mawaziri pia?
Kama kweli wabunge wanauchungu na maendelao ya wananchi basi wakatae kwanza posho ya kukaa bungeni
 
Adi jioni unakuaga kazini kwanini kipindi cha jioni wasikioneshe live asubuhi ndo wakarekodi

Niwazo zuri. Nilikuwa naangalia marudio ya Bunge Jana kuhusu mada hii.
Wabunge wengi hasa wa chama Tawala wakitetea hoja hii ya kutorusha live.
Lakini hata mwanasheria mkuu alijaribu kufafanua juu ya sheria na kuthibitisha kwa hakuna haki ya kidemokrasia ambayo inakandamizwa kwa kutoonyesha live cavarage.

Sipingani nao kabisa kwa kuwa kama lengo kuu ni kwamba watu wapate taarifa hata ikiwa recorded.

Suala linalonyima haki ya kupata taarifa ni kitendo cha kuondoa na kuchuja baadhi ya vipande vinavyo igusa serikali endapo wanakuwa wamekosea.

Jambo la pili nikuonyesha marudio usiku sana ambapo watu wengi wanakuwa wamelala.

Hii inaonyesha haki ya kupata taarifa katika wakati muafaka na kificha baadhi ya matukio kwalengo la kutotaka kukosolewa.
 
Back
Top Bottom