Rais Magufuli: Askari wa Usalama Barabarani aliyetukanwa na Mke wa Waziri apandishwe cheo

TataMadiba

JF-Expert Member
Feb 7, 2014
9,866
5,742
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemuagiza Kamishna wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Ernesti Mangu kumpandisha cheo askari wa Usalama barabarani ambaye alitukanwa na Mke wa Waziri wakati akitekeleza majukumu yake ya kikazi.

Rais ameyasema hayo wakati akifungua Kikao cha Makamanda wa Polisi wa Mikoa. Aidha Rais Dr. Magufuli amesema ameshamuonya Waziri huo ambaye mke wake amemtukana askari wa Usalama Barabarani.



Wakati akitoa agizo hilo, rais amesema hakuna kiongozi au familia ya kiongozi iliyoko juu ya sheria.

Chanzo: TBC1
 
Rais wa Jamhuro ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemwagiz Kamishina wa Jeshi la Polisi kumpandisha cheo askari wa Usalama barabrani ambaye alitukanwa na Mke wa Waziri wakati akitekeleza majukumu yake ya kikazi. Rais ameyasema hayo wakati akifungua Kikao cha Makamanda wa Polisi wa Mikoa. Aidha Rais Dr. Magufuli amesema ameshamuonya Waziri huo ambaye mke wake amemtukana askari wa Usalama Barabarani. Wakati akitoa agizo hilo, rais amesema hakuna kiongozi au familia ya kiongozi iliyoko juu ya sheria.
Source: TBC1
Hawa wanawake wanaweza kukuotesha jipu bure ukatumbuliwa
 
Wakati aahutubia makamanda wa polisi wa mikoa Dodoma juzi, amesema alipata taarifa ya tukio la mke wa waziri kumfokea na kujaribu kumzuia kutekeleza majukumu yake trafiki aliekuwa kazini na kwamba amemkemea mke wa waziri huyo (jina la waziri halikutajwa) na rais amemjulisha waziri juu ya tabia ya mke wake. Rais pia aliagiza kupashwa cheo kwa askari huyo kwa kutoogopa hadhi ya mtu awapo kazini.
 
image.jpeg
 
Back
Top Bottom