KATIKA KILA NAFASI UNAYOIPATA MJULISHE MWENZAKO UMUHIMU WA KUZITAMBUA NA KUZITETEA HAKI ZAKE...
Pia mjulishe umuhimu wa kufanya uamuzi mgumu na wa busara,,, kura yako ndo kesho yako,,, ndo maisha yako na ndio Taifa lako.
Bila kujali itikadi za kisiasa walau tuanze na hili la kuwaunga mkono...