Tunaweza kujikwamua

Tunaweza kujikwamua

kajumula.

Member
Joined
Jun 29, 2012
Posts
34
Reaction score
0
Nawasalimu wote kwa jina la Tanzania Tanzania.

Watanzania kwa hali na jinsi ilivyo sasa na kwa itakavyokuwa kesho, kuna uwezekano mkubwa mambo yasiwe shwari. Misigano/nyufa zinazozidi kukua katika jamii yetu ndo kitanzi na chanzo cha upotevu wa utulivu wa nafsi na hali. Ebu tujiulize chanzo cha minyukano na chuki za kidini zinatoka wapi na chanzo no kipi? Je ni nani anakemea kwa kuimanisha, je ni nani yuko tayari kusema ukweli kuwa chanzo cha haya yote ni ukosefu wa Elimu na Ajira miongoni mwa makundi vijana na wafuasi wengine wafuatao mkumbo na wapenda shari? Je inawezekana kweli mtu aliyeajiliwa akaacha shughuli zake na kwenda kushobokea/ kushabikia mihadhara na maandamano yasiyo na tija? Hakika jibu ni HAPANA.
Je nguvu, mali na hali zinazotumika kumdhibiti mtu mmoja kama Sheikh Ponda kama zingetumika kuwekeza katika kilimo na kuwaajili vijana wa mitaani washabikiao maandamano na mihadhara zisingekuwa zimepunguza walau tatizo?. Je tumekwisha jiuliza, mfano kumsafirisha Ponda kwa HELKOPITA kutoka Dar es Salaam mpaka Morogoro, na kumrudisha inagharimu kiasi gani.......? Achilia mbali ulinzi na gharama nyinginezo..

TAFAKARI KISHA CHUKUA HATUA. TWAWEZA.
:wave:
 
ww mwenyewe pia humeshaonesha chuki pia. huwoni kwamba waislamu wanaonewa pande zote za dunia hatakama hujui kusoma picha huwoni? Je hile ni haki kweli kumtoa mkuku hospital wakati bado hajapona vizuri.
 
Back
Top Bottom