Mabadiliko ni wewe.

Mabadiliko ni wewe.

kajumula.

Member
Joined
Jun 29, 2012
Posts
34
Reaction score
0
KATIKA KILA NAFASI UNAYOIPATA MJULISHE MWENZAKO UMUHIMU WA KUZITAMBUA NA KUZITETEA HAKI ZAKE...

Pia mjulishe umuhimu wa kufanya uamuzi mgumu na wa busara,,, kura yako ndo kesho yako,,, ndo maisha yako na ndio Taifa lako.

Bila kujali itikadi za kisiasa walau tuanze na hili la kuwaunga mkono CHADEMA katika harakati zao za kuwajulisha Watanzania walio wengi ambao bado hawajazijua haki zao, na pengine UHURU wao unakandamizwa.

INAWEZEKANA:frog:
 
Back
Top Bottom