tanzania, kama taifa tunalo jivunia kuwa na amani na usalama...ni kweli pengine kuna amani na usalama kwa mitazamo ya haraka.... lakini richa ya sifa hizo nzuri,,ebu tujifananishe na jirani zenu kenya. wenzetu mda si mda watazindua uandikishaji wa wapiga kura kwa njia za kimtandao- elektroniki. kiasi kwamba kubari au kataa hii ni sehemu ya kufanya kazi kwa ufanisi,mda mchache,kwa kiwango na kwa ubora wa hari ya juu.
je sie tanzania tume ya uchaguzi itazunguka na daftari mpaka lini?
je sie tanzania tume ya uchaguzi itazunguka na daftari mpaka lini?