Recent content by kafugugu

  1. K

    Profesa Sospeter Muhongo Tazama ulivyochemka

    hata saivi maeneo ya kigoto mwanza umeme wmekata hii inaelekea wiki kila sku wakta muhongo kweli ni muongo amelishwa unga wa ndele ajitambui
  2. K

    CCM chovu-kila sehemu vurugu ba shari-Sasa UWT ktk uchaguzi

    wooooooooooooooooooooooooooooooooote wajinga tu mi nyinyiem naye anna kilango malechela ni mnafiki na lana ya mme wake imemkuta
  3. K

    Watoto wa vigogo waiteka UVCCM!

    umesema kweli mkuu sasa ivi tunaongozwa na koo
  4. K

    CCM Mwanza kumwonjesha Kikwete Shubiri

    mimi kama kada wa ccm mbona nape hajibu hoja sikuhizi ana nikatisha tamaa kijana wake alafu tangazo kwa wanachama wenzangu wa ccm blog yetu imefunguliwa tuitembelee basi tutoa maoni yetu kule tuwaachieni jamii forum yenu.
  5. K

    UWAJIBIKAJI: Sugu aendelea na ziara Mbeya mjini!

    sugu anajua kazi ya ubunge sio kukaa mjini tu lakini alihahidi hawezi kukaa marekani wakati wananch wanaumia rejerea kipindi cha mchakato majimboni
  6. K

    Majina ya mawaziri wanaopaswa kujiuzuru yatua mezani kwa JK

    wewe acha izo ccm namba moja
  7. K

    Tunawakaribisha walio wasafi kutoka ndani ya chama cha magamba

    wewe ruge kwa taarifa yako huyo millya alituma maombi toka mda sio chadema imekurupuka waulize wadau sio unaropoka tu mbona lowasa amekataliwa mpaka aombe rath kwa watanzania
  8. K

    Uzalendo ni kitu muhimu katika kuchagua wabunge wa TZ EA

    waaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa chadema imejitoa wewe
  9. K

    Heko madiwani wa Halmashauri ya Muleba

    mimi nashanga bukoba ni mkoa ambao unongoza kwa wasomi lakin hawajitambui sijui kwanin labda kwenye jimbo la ndasa inamaana hata oparation sangara haikueleweka tuonyesheni njia mlio elimika mnashindwa hata na mara au ndio wasomi waoga mnaelimu hamjui kuitumia
  10. K

    LEAK: Document ya hukumu ya Godbless Lema HAPA

    alafu jamani mbona kusini tumetengwa sana huku waje na majembe yote
  11. K

    LEAK: Document ya hukumu ya Godbless Lema HAPA

    mi naona bwana lema alivyo nje ndio moto mkali umeona shinyanga umeona kahama kweli cdm noma
  12. K

    Sitaki tena msichana bikra!!

    WEWE NENDA KALE COURSE KWENYE WEB MOJA HIVI WWW.INDABA INAFRICA KALE MAUJUZI BUT MMH SIJUI MAANA KUMPATA MWENYE BIKILA SAIZI LABDA PRIMARY WALISHA KUA USED LONG TIME HAO
  13. K

    Mkutano mkubwa wa CHADEMA Dodoma

    we MBONA UNAJIFANYA MCHAMBUZI HAYA WAMEKUKERA NIN SASA MBONA UJUI SHERIA WEWE WAMEKWAMBIA HAWATA APISHWA MILELE ACHA KIHELE HELE CDM INAENDA KWA TIMING
  14. K

    Siri kuhusu wajumbe wateule wa tume ya katiba

    Dawa ni wanainchi kuwa wakari wakati wa kupitisha au kupiga kura ya kupitisha katiba tukiwaachia magamba imekula kwetu na watoto wetu magamba waliisha jijenga watakwenda ulaya
Back
Top Bottom