Recent content by KadaMpinzani

  1. KadaMpinzani

    JamiiForums Tanzania Defining, Refining and Understanding Zitto Kabwe

    INDIVIDUAL EFFECT !!!!!!, kwa nini mnamuangalia zitto as an individual na sio zitto-look alikes ? wenye potential kama yy, ina maana zitto akifulia kisiasa mtakosa cha kuandika ? saa nyingine mnanifanya niamini mnalipwa na zitto kuandika mnayoandika kuhusu yeye humu.
  2. KadaMpinzani

    JamiiForums Tanzania Nakwenda Hijja Inshallah

    Inshallah, Mungu akusaidie na hijja yako pamoja na za wake zako na mwanao zikubaliwe pamoja na hao wote watakaoenda huko. Tuombee na sisi tuliyokutakia heri Mungu atukumbuke mambo yetu mema yawe rahisi. Ibada njema!
  3. KadaMpinzani

    JamiiForums Tanzania Kevin Twisa, mfano wa kuigwa

    sina uhakika...mara ya mwisho kuingia ilikuwa too slow....the site may be dead by now!
  4. KadaMpinzani

    JamiiForums Tanzania Kevin Twisa, mfano wa kuigwa

    dah, naona jamaa wa dhw wamevamia humu kwa kasi!
  5. KadaMpinzani

    JamiiForums Tanzania Narudi bongo, msaada wakuu!

    ouchhh! thts sum cold ish...
  6. KadaMpinzani

    JamiiForums Tanzania Strategy wapinzani wanayotakiwa kuitumia..Tena sasa hivi yaani kuanzia sasa

    Ni lazima tukumbuke kwamba, hakuna kipindi ambacho upinzani katika historia ya Tanzania imeweza kutengeneza historia kama katika kipindi hiki. Haijawahi kutokea Tz'nia waziri mkuu akijiuzulu kwa sababu ya kashfa, mawaziri wakipelekwa mahakamani na kushtakiwa kwa tuhuma n.k. Kwa kifupi, wapinzani...
  7. KadaMpinzani

    JamiiForums Tanzania Strategy wapinzani wanayotakiwa kuitumia..Tena sasa hivi yaani kuanzia sasa

    oya, mm mchango wa kununua helicopter sina bana, sasa kama sina hata mawazo nikose ? hahaaa. Huyu ni yule yule ambaye hukudhani angeandika haya............................ ........................ ...
  8. KadaMpinzani

    JamiiForums Tanzania Strategy wapinzani wanayotakiwa kuitumia..Tena sasa hivi yaani kuanzia sasa

    (1) Wasimu-attack Kikwete moja kwa moja ktk mashambulizi yao wanayoyafanya wakiwa katika majukwaa ya siasa kipindi hiki kuelekea uchaguzi. Kwa nini ? Kumshambulia Kikwete moja kwa moja katika kushindwa kwake, kutasaidiwa na "sweeper" wake, hawa sana sana wanakuwaga wajumbe wa NEC wakiongozwa na...
  9. KadaMpinzani

    JamiiForums Tanzania Zitto Arejea Ujerumani kwa PhD

    koba upo kaka ? ulijichimbia wapi lakini ?
  10. KadaMpinzani

    JamiiForums Tanzania Narudi bongo, msaada wakuu!

    ina maana hujawahi kukaa dar au huna mwenyeji yeyote anayekaa dar ? je ulipokuwa tz ina maana hukuwahi kuwa na simu ya mkononi ? kama ulikuwa nayo ni kampuni gani ? na kwa nini ulikuwa unatumia hiyo kampuni na si zingine ? hakuna lolote lililobadirika ndnai ya hizo aka mbili zaidi ya mgao wa umeme
  11. KadaMpinzani

    JamiiForums Tanzania Noti mpya kuchapishwa Tanzania

    in red - hii imekuwa sababu ikitumika over and over, yaani ina maana zikizagaa feki, kazi yao ni kuchapisha mpya bila kuweka any security features, kwa hiyo kinachobadirika ni upya wa noti tu na si kingine, weweeee kweli tznia tambarare.....uchaguzi huo mzazi mwezi huu na mwakani mwezi kama huu
  12. KadaMpinzani

    JamiiForums Tanzania Viongozi WABOVU Duniani

    kwani "viongozi" lazima wawe wakuu wa nchi ? katika kundi la zaidi ya mtu mmoja lazima kuwe na kiongozi, kwenye familia lazima kuwe na kiongozi, sasa je nyinyi ni viongozi wazuri ndani ya familia zenu ?
  13. KadaMpinzani

    JamiiForums Tanzania Zitto apendekeza Dowans itaifishwe; Serikali yapinga! Mgao waendelea...

    hapa ninachokiona mimi ni kwamba, zitto ameamua kununua hii kesi kwa hiari (kujitakia) maana suala hili halijaanza jana wala leo, na asipokuwa makini huyu zitto, hili suala la hii mitambo halitomkalia vizuri siku za mbeleni iwapo intentions zake zitakuwa za kisiasa! Sasa anachotakiwa afanye...
  14. KadaMpinzani

    JamiiForums Tanzania Bambo na tangazo la uchaguzi wa serikali za mitaa.

    mvuto gani tena huo festiledi ?
  15. KadaMpinzani

    JamiiForums Tanzania Noti mpya kuchapishwa Tanzania

    duh, yaani uliichangia ccm bila mwenyewe kujua, aisee hii kali! kweli walikupata!
Back
Top Bottom