Recent content by kachumbari

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Ukiwa Kiongozi wa wizara ya Michezo, Je unafikiri nchi yetu itakuwa na uwakilishi wa kiushindani katika michezo hii ijayo ya Olimpiki? 2.Nini matarajio yako katika mashindano hayo?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Tetemeko halijaletwa na Serikali, watu wafanye kazi

    Kwa maneno haya kwa waliopatwa na zahma hii ni sawa na ikitokea tukivamiwa na kupigwa mabomu aje kiongozi atuambie wananchi mtajiju kwani serikali na chama hakihusiki..hii sio sawa.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Tetemeko halijaletwa na Serikali, watu wafanye kazi

    hii ni kweli ajali haikusababishwa na serikali ya CCM,je ile balaa iliyo sababishwa kwa wakazi wa Mbagala na Gongo la Mboto walilipwa nini?Mbona wanaendelea na maisha....na hata wengine wamekwishisha sahau..
  4. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Uchaguzi wa Marudio visiwani Zanzibar - Machi 20, 2016

    Mwenye picha za Rais Mstaafu Amani Abeid Kwrume akipiga kura leo atuwekee tuzione tafadhali
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mr. Foy arudishwe TRA

    Wakati umefika kwa serikali kumrudisha kazini mtoza kodi Mr.FOY, huyu ndugu aliondolewa kwa hila za wakwepa kodi, kwani jamaa anaijua CUSTOMS vizuri .
  6. K

    JamiiForums Tanzania Dr. Eve Hawa Sinare atangaza Kuhama CCM

    Kwani alivyo kuwa anajiunga CCM aliwaita waandishi wa habari?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mazingira machafu Marian Girls/Boys Sec, Bagamoyo

    Nililalamika katika jukwa hili January mwaka huu kuhusu hali mbaya pale Marian Girls ndugu zangu wengi waliniponda je mmeona mayokeo ya form six walivyo fanya vibaya hizi shule Marian Boys and Girls.ni kwamba mwenye shule amezipuuza kabisa na kuto jali kuwa na waalim bora shule inakwenda mrama.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kwenye Mkutano wa Lowassa wa kutangaza nia ya kugombea Urais - Arusha

    Leo nimekubali ya kuwa CCM imeanza kugawanyika,je hao viongozi na wazee wa CCM walioko uwanjani leo,maana yake hawatakuwepo wala kuwasikiliza wagombea wengine wa CCM watakao jitokeza kutangaza nia? Maana sikutegemea mtu kama Kingunge kwa busara zake Leo angekuwepo hapo kiwanjani na kuhutubia.
  9. K

    JamiiForums Tanzania CCM yamvua Uanachama Mzee Hassan Nassor Moyo

    Hawa jamaa watafungana wenyewe kwa wenyewe yetu macho.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Sherehe za Uhuru wa Tanganyika

    Wandugu kuna tangazo limetolewa na ofisi ya waziri mkuu linaonyeshwa kwa Runinga kutoa taarifa kuwa trh 9/Dec ni siku ya kuadhimisha kupatikana UHURU wa TANZANIA BARA,Ninaomba ofisi husika irekebishe hilo tangazo na kuweka nchi sahihi kwani uhuru kutoka kwa wakoloni ulipewaTANGANYIKA.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mazingira machafu Marian Girls/Boys Sec, Bagamoyo

    Nasikitishwa na kushangazwa kuona tunaletewa kadi za michango ya ujenzi wa Chuo Kikuu cha Marian pale Bagamoyo, wakati hali ya mazingira ya shule zake ni mbaya mno, hata ofisi za waalim na mabweni ya watoto ni hovyo. Hivi wizara husika haioni hili? Hata Kama vijana wanafanya vizuri inabidi...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Dubai: Ushawahi kufika hapa?

    Hapa ni Dar es salaam
  13. K

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa Daniel Yona unatisha!

    Ndugu yangu,fanya kazi na jitume ili nawe upate mafanikio katika maisha yako,wewe umeona na hujui amepataje,badala ya kupoteza muda na nguvu zako kujadili ya wenzio jitume ili nawe uwe bora.(Life is one thing road with a lot of sings,so when you riding through the road don't complicate your...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Leo ndo napanda ndege kwa mara ya kwanza mnishauri jmn

    Kama utatua Tabora,usisahau kununua karanga,mayai ya kuchemsha na miwa na uwe na chenji kamili,ama sivyo utaachwa.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kumbe Skin Tight Maarufu!

    mimi sikujua kama vazi hili linavaliwa na viongozi pia na kwa mila na desturi zetu huku kiongozi hawezi vaa kama Mama Obama na akatemdea mtaani kama hivyo.
Back
Top Bottom