Kumbe Skin Tight Maarufu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe Skin Tight Maarufu!

Discussion in 'Jamii Photos' started by kachumbari, Sep 26, 2012.

 1. k

  kachumbari Senior Member

  #1
  Sep 26, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  skin tight.jpg nilifikiri kwa sisi wa uswazi tu,kumbe vazi hili ni maarufu.
   
 2. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,767
  Likes Received: 2,494
  Trophy Points: 280
  we kweli mswazi nini kinacho kushangaza sasa!
   
 3. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  Haionekani sana bana! 'Mama wa kwanza' oyeee!
  [​IMG]Angetupia kama Mama Obama ungesemaje!

  [​IMG]
   
 4. k

  kachumbari Senior Member

  #4
  Sep 26, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  mimi sikujua kama vazi hili linavaliwa na viongozi pia na kwa mila na desturi zetu huku kiongozi hawezi vaa kama Mama Obama na akatemdea mtaani kama hivyo.
   
 5. L

  Laaziz Member

  #5
  Sep 27, 2012
  Joined: Sep 26, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  skin tight mbona ni vazi tu ila linavaliwaje ndio tatizo, hapo naona mamaa kaivaa ndani ya dira good.
   
 6. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #6
  Sep 27, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  tatizo sio linavaliwaje, tatizo ni maumbile. Akivaa mdada mwenye flat skrini nyuma, tumbo mbele na miguu kama toothpick hamlalamiki. Sasa kama mtu mashaallah afanyeje!
   
 7. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #7
  Sep 27, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  mawazo mgando shida sana "kwani mtu kuwa kiongozi inabadilisha utu wake? ana mahitaji kama mtu mwingine, ana shida kama mtu yeyote, anaumwa kama wengine, anapenda na kupendwa kama wengine. Msiwanyanyapae viongozi.
   
 8. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #8
  Sep 27, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ila inawezekana umaarufu wa kuchukiwa unaongezeka kuliko wa kupendwa.
   
 9. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #9
  Sep 27, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Inasaidia maanake anaweza kuteleza kwenye ngazi halafu Wapiga kura wakaona vinavyostahili kuonwa na Mpigiwa kura pekee.
   
Loading...