Dubai: Ushawahi kufika hapa?

Dubai: Ushawahi kufika hapa?

Maisha yako yote 1890 GKM

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Last edited by a moderator:
Afrika ya Kati wanayo miundo mbinu kama hyo, nilikuwa January
 
Mh sijui lini kwetu kutakuwa hvi

Kwetu kukiwa hivyo na mbuga za wanyama tutaziweka wapi?
Tunalialia kila siku kuwa kugeza kwetu kutoka kwao ndio kunaharibu maadili ya watoto wetu.
Inatubidi tuwe tofauti nao mkuu kulinda utamaduni wetu...😀

"Nlikuwepo":bolt:
 
Hii nchi yetu huenda siku moja tukafika huko kwa mafaniki ikiwa tu hawa jamaa wanaojiita Serikali sikivu wakiangushwa
 
Hii nchi yetu huenda siku moja tukafika huko kwa mafaniki ikiwa tu hawa jamaa wanaojiita Serikali sikivu wakiangushwa

mimi na wewe na yule tuanze sasa, mabadiliko kama haya tunayahitaji
 
Back
Top Bottom