Mr. Foy arudishwe TRA

kachumbari

Senior Member
Nov 1, 2010
126
9
Wakati umefika kwa serikali kumrudisha kazini mtoza kodi Mr.FOY, huyu ndugu aliondolewa kwa hila za wakwepa kodi, kwani jamaa anaijua CUSTOMS vizuri .
 
Tunaojua sababu za huyu jamaa kuondolewa pale TUNAPINGA. Aendelee tu na shughuli zake binafsi.
 
Wakati umefika kwa serikali kumrudisha kazini mtoza kodi Mr.FOY, huyu ndugu aliondolewa kwa hila za wakwepa kodi, kwani jamaa anaijua CUSTOMS vizuri .
Kwahiyo Nchi zima hii hakuna mwingine anejua mambo ya CUSTOMS isipokuwa nihuyo jamaa yako....!!! duuh
 
Wakati umefika kwa serikali kumrudisha kazini mtoza kodi Mr.FOY, huyu ndugu aliondolewa kwa hila za wakwepa kodi, kwani jamaa anaijua CUSTOMS vizuri .
Usijifanye unajua sana matatizo yake kuliko muajiri.kuna mtu alikua mnoko kama masamaki? Kumbe dah!!
 
Wakati umefika kwa serikali kumrudisha kazini mtoza kodi Mr.FOY, huyu ndugu aliondolewa kwa hila za wakwepa kodi, kwani jamaa anaijua CUSTOMS vizuri .
Unaonaje ukienda ikulu kumuomba rais magufuli ili akurudishie huyo mtu wako muendelee kupiga dili?
 
Tanzania ina hazina ya Wasomi wengi...... Si lazima huyo FOY wako...

Kama unampenda kanywe naye CHAI..
 
Toa maelezo ya kutosha kwanini anajua na kwaninu unazani hakuna Mtanzania mwingine anayejua Customs kuzidi yeye!
 
Wakati umefika kwa serikali kumrudisha kazini mtoza kodi Mr.FOY, huyu ndugu aliondolewa kwa hila za wakwepa kodi, kwani jamaa anaijua CUSTOMS vizuri .

Wewe Kachumbari ndiye Frank FOY mwenyewe. Unajulikana ni mpigaji na fisadi mkubwa kuliko Masamaki.
 
Back
Top Bottom