Recent content by kachero orignal

  1. K

    JamiiForums Tanzania Neno la shukrani kwa wateja wetu wa TTCL

    Internet yenu haina tofauti Kati ya 2g na 4g mjipange sana kwa uzalendo mmetushinda laini yenu ipo kabatini siku mkiwa na 4g ya ukweli mnistue tena
  2. K

    JamiiForums Tanzania Serikali iongeze chanjo aina nyinginezo

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  3. K

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Morogoro kuna tatizo kubwa la dakitar bingwa wa masikio na koo ila sijui mnachukuwa jitihada gan maana kwa special clinic ya mwezi wa kumi hilo tatizo lilikuwa tatizo kubwa
  4. K

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Customer care yunu morogoro ni mbuvu kupita maelezo umeme leo siku ya nne mm na jiran hatuna Tumechoka kusubir mafundi wenu
  5. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ugonjwa wa mbuzi kuzunguka. Huu ni ugonjwa gani?

    Ushauri wangu kabla ya yote nakushauri uende na mnyama pale sua kitengo cha tafiti wamchunguze kwanza ndo nadhani utapata majibu ya uhakika huo uonjwa wa kuzunguka kwa mwaka 2019 ndo nadhan ugonjwa uliosumbua mbuzi sana hata kwangu nimepata hilo tatizo sana ila nikampeleka mnyama sua nilipata...
  6. K

    JamiiForums Tanzania TTCL hakikisheni hii Kauli Mbiu yenu ya ' Rudi Nyumbani Kumenoga ' haitowaumbua mbele ya safari

    Moyo unasita kurud maana bado hawajatuaminisha kama nyumba imeimarika
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wataamu wa mambo ya dairy

    Ktk pitapita katika kutafuta furusa nimedhamiria kuingia katka hii bishara maana nishajiapanga kwa % kadhaa ushauri wenu unahitajika kwa mambo ya muhimu na ya msingi 1.pausterizer 2.cooling tank 3.milk parking mashine (pouches) 4.milk cup filler zote ziwe kati ya 400-1000 lt Michango yenu yote...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nani Role model Wako?

    JACK DANIEL'S
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ni wapi nitapata soko la mayai ya kuku wa kienyeji?

    Pesa ngap kwa trey 1 Sent using Jamii Forums mobile app
  10. K

    JamiiForums Tanzania Laser light security alarm

    Ok kwa ufaham wangu hz za kutengeneza manual sina uzoefu nazo mm nazijua zile za kununua taaa pamoja .net sensor zake .na alam labda sijui ulikuwa unahitaji ipi
  11. K

    JamiiForums Tanzania Hypothetical scenario; Tundu Antipas Lissu akubali kuiwakilisha Acacia mahakamani vs Magufuli

    Mm napita 2 ila hilo neno la mwisho[emoji375]
  12. K

    JamiiForums Tanzania Walinzi wa rais wetu fitness yao vipi?

    Wamasai tena wametoka wap Acha ubwege wewe jadili mada husika bac wapelekee mkewo kama unaona ngombe wanafaidi
Back
Top Bottom