Mliopo Bunju kwenye Mahafali ya CPA tujuzane leo nimetimba hapa

Hii fani bna, inahitaji uwe na hofu ya Mungu kweli kweli. Yaan namba moja (1) inaweza kuwa (7), au moja inaweza kuwa (4), au moja inaweza (9) au moja inaweza (6).

Tena bora zimekuja hz accounting parkages nyingi, maana mtindo wa zaman wa manual watu walipiga hela.

Yaan zaman mtu alikuwa anabadirisha figure kuanzia kwenye receipt book, anakuja kwenye cash book ndo usiseme anaonesha imeingia na pia imetumika.

Figure hiyo hiyo akiitoa cash book anaileta kwenye ledger bkama matumiz. ngoma inabadirishwa, akiitoa ledger book anakuja nayo kwenye trail balance ngoma inabalance,

akiitoa hapo, anaileta kwenye final account mpaka mwishoe balance sheet ngoma inabalance.

Akitoka hapo anaenda kwenye expinditure board mnt. Anabadirisha ionekana board ilipitisha, anafaile munts za board. Akitoka apo anaenda kwa mtunza mnt za bod, anaweka mnt fake

Akitoka anaenda kwenye file la vocha za malipo, anaweka vocha yenye receipt fake.

Akija odta, ana angalia kuanzia receipt book anakuta lak 5 ziliingia Kama cash. Badae anachek cash book anakuta lak 5 zimeingia na kutumika , anaenda kwenye ledger anaona lak 5 imetumika.

Anaenda kwenye kwenye board mnt, anakuta lak 5 iliruhusiwa kutumika na wanabid, anatoka hapo anaenda kuangalia vocha ya malipo, anakuta mtu alipokea lak 5 akanunua spare za gar ya bos na list zimewekwa kwenye vocha.

Baada ya hapo odta anasepa na kutoa hati safiii uku muhasibu anabak anamcheka odita. Yaan nyie watu Mungu anawaona........

Mkawe tu waaminifu
Naona unatoa siri za ndani sana
 
Sasa kwa nini waishi eneo lenye jina bayaaa walibadilishe bana kama parkroad, Norfolk, Eton, lancarshire, st. John's ETC
mbona kikwete anakaa msoga?hayo ni majina ya asili.bunju hilo ni jina la samaki.ila bunju beach pamoja na mbweni huko hakuna tofauti na masaki.kuna majumba ya helaaa.nikienda kule uwa nashangaa tu
 
I was there dah why sikuuona huu uzi mapema, ulisikia yule CPA (T) mmoja aliyekusanya zawadi tofauti tofauti ya pesa Million 12? Aisee nimetamanii
Nlimuona aisee yaan zawadi zinatangazwa hadi nasinzia ile manzi white ni shida asee,

Wapili alichukua 8M+ alikuwa black na ana sura ya babaye
 
IPSAS ni nini?
Hio hapo chini
20211003_053342.jpg
 
Back
Top Bottom