kachero orignal
Senior Member
- Jan 15, 2015
- 101
- 35
Ktk pitapita katika kutafuta furusa nimedhamiria kuingia katka hii bishara maana nishajiapanga kwa % kadhaa ushauri wenu unahitajika
kwa mambo ya muhimu na ya msingi
1.pausterizer
2.cooling tank
3.milk parking mashine (pouches)
4.milk cup filler
zote ziwe kati ya 400-1000 lt
Michango yenu yote nitaichuwa .na kuona ipi inanifaa hata kwa mambo ambayo sijayataja hapo yatanifaa pia maana nishajidhatiti ktk hii kituu
Kuanzia wauzaji ubora na matengenezo pindi ikileta matatizo na mengineyo