Recent content by kabulaku

  1. K

    JamiiForums Tanzania Wadau wa mikopo ya dharura

    Wasikukatishe tamaa ndugu yangu, kama kweli ni mtafutaji huwezi kukaa na pesa bila kuizalisha, na pesa inatafutwa kwa njia tofauti nia ya kila mtu ni kupata mark up, haijalish ni kwa njia gani. Nakutia moyo endelea na biashara yako, huwez kufikha kumi kabla ya moja, utbnza kidogo kidogo badae...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kware: Ufugaji bora wa Kware, Na faida ya bidhaa zitokanazo na Kware

    Habari deo Nimevutiwa na mwongozo wako wa ufugaji wa kwale kwani ni siku nyingi nilikuwa natafuta idea.nakaa maeneo ya tegeta hapa na ninatamani nifike hapo kwako unapofugia niweze kuangalia changamoto mbili tatu ili na mimi nianze kufuga. Naomba ushirikiano wako. Nimeona hii ni fulsa kwani...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kitabu kimetoka: Jifunze Ufugaji na Biashara ya Kware

    Mnapatikana wapi?mimi nahitaji hicho kitabu
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kaka yake Josephat Gwajima amtaka mdogo wake amuombe radhi Pengo

    Inaonekana tabby ni mfuasi wa gwajima.haoni kosa alilofanya askofu wake. ila kwa ufupi gwajima amelikosea taifa pia
  5. K

    JamiiForums Tanzania Askari wa Mwanza Airport

    Hao indio Zao, walininuang'anya lotion yangu na perfume mpya kabisa
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simulizi: Mapenzi ya dhati

    ongeza part nyingine
  7. K

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kupunguza unene kwa wanaume na wanawake

    hahahahaha nimeipenda hiyo
  8. K

    JamiiForums Tanzania Flora Mbasha afunguka, ni hatari sana

    Pole sana frola, wanawake wanakumbwa na unyanyasaji wa kila aina, wanajitahidi kuficha siri ili kulinda heshima tu. songa mbele day haki yako kwani huyo sio mume sahihi kwako,
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimefurahishwa na tabia ya mpenzi wangu

    magugu ni uchafu, wewe jidanganye kuwa alikuwa haliwi. kaliwa na magugu yake
  10. K

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali, Inawezekana kuwa na account mbili CRDB bank?

    Asante kwa kutujulisha hata mimi nilikuwa najiuliza sana
  11. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mashepu na vishepu

    nyie wanaume ndio mnapenda mashep ndio maana wa dada wanahangaika kuweka mashep ili kuwafurahisha nyie
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nani anapaswa kushukuru kwa kutoa asante

    Asante ya nini?
  13. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je kati ya wanaume na wanawake nani husikia hamu ya kugegedana zaidi?

  14. K

    JamiiForums Tanzania Madawa ya Kulevya: Tevez adaiwa kukatwakatwa uume wake South Africa

    bora angekufa kuliko kuishi bill nanihii yake
  15. K

    JamiiForums Tanzania Fastjet: Basi linalopaa angani

    Na bei zao ziko juu sana. Mmmmh wantengeneza hela kwa lazima
Back
Top Bottom