Atacheka sana, then kitakacho fuata sijui
Photoshoped
Nimeridhika na shepu langu la kihindi
Hapo ni kujipa raha mwenyewe. Uzuri wa mwanamke tunaufaham sisi wanaume. Kusema kila mwanamke ni mzuri. Siyo kweli.
Ahahahaha yule Wa US kharam yule aseeBest wewe tena mbona nakuelewa, una leseni za mizigo ya neema za Allah. Ila yule wa US si kivile, hahahhaaa nisikupe machungu bure...
Hongeraaa...hata hivyo umependeza mweeeeee.
hongeraaa...hata hivyo umependeza mweeeeee.
Ukirudi niletee zawadi...duu, mi napita
Ukirudi niletee zawadi...
Usikonde, ila inabidi tujiandae kwa zawadi yoyote...Ukiletewa zawadi usininyime