Watanzania muwe na shukrani wakati mwingine. Sisemi kuchikichia na chenji za wananchi ni jambo jema lakini wakati mwingine mnawatega bure. Unanunua bites za buku mbili jero then unaangusha hapo msimbazi safari ya dk50. Na mko angani.hamna kibanda cha mangi huko juu eti tuseme ataenda kuomba chenji mara moja. I think it is a professional of telling you guys that they are really sorry n that they cant provide a change so tembea zako huko lakini siku nyingine uje na chenji kamili.
Lets be considerate kidogo basi heeeeeeee!!
Kweli tupu. Crew wengi wa fast jet kiingereza mgogoro.hata yale maelezo ya jinsi ya kufunga mkanda na kujiokoa anasoma kwenye karatasi lakini Bado anachapia.ishu ya chenji ni Kweli pia.
Teheee kiu mkuuWabongo nao bwana, wanapenda kula njiani, kama mchwa! We safari ya Lisaa manunuzi kwenye ndege ya nini?? Sijui ushamba
Natumaini wengi wetu tumepata bahati ya kupaa na Fastjet katika maeneo tofauti hawa jamaa kwa kweli wahudumu & huduma ndani ya ndege ni za kusikitisha yaani utafikiri umepanda basi la abiria.
Iweje huduma ambazo wanalipisha ukimpa hela kubwa (ya chenji) harudishi na huyo mhudumu hutamuona tena moaka unashuka kwenye ndege sijui hata wanaendaga kujifungia wapi.
Nimesafiri sana na hawa jamaa hasa KIA-DAR, DAR- MBEYA na DAR - MWANZA kila ukiwapa hela ya chenji hsabu maumivu, ukijidai kuuliza swali kwa kiingereza ndo umemkimbikiza mazima anazuga HOLD ON ndo anajidai bizeeee anakupita kama hakujui mpaka ndege inatua. ukienda ofisin kwao Daah Hatareee.
Ndugu zanguni Fastjet badilikeni
Kweli tupu. Crew wengi wa fast jet kiingereza mgogoro.hata yale maelezo ya jinsi ya kufunga mkanda na kujiokoa anasoma kwenye karatasi lakini Bado anachapia.ishu ya chenji ni Kweli pia.
Mbwembwe tu kwani ukifika airport unywe soda yako na keki adu ndo ukapanda kuna tatizo gani?
Fastjet hawana makosa....jina linajitosheleza airline ya safari fupi na budget airline, next time nenda na change yako, kibongobongo wanajitahidi, Ulaya wana budget airline kama EasyJet na Rynair wanatengeneza siti za kusimama kama basi za mbagala
Kaka acha kutetea ujinga,mm nauza vocha ila hata ukitaka voda rusha ya 200 ukanipa elfu10 chenji ntawapa hata kama muwe kumi napata wapi chenji? Naenda mapema bank naomba chenji hakuna kutegemea huruma za mangi sasa hilo shirika kubwa hivo wanashindwa?
.kweli mkuu.kachekesha halafu ana mantiki.jamii forum is never boringMaswali yako yana mantiki lakini yanachekesha sana asee!
Wabongo nao bwana, wanapenda kula njiani, kama mchwa! We safari ya Lisaa manunuzi kwenye ndege ya nini?? Sijui ushamba
Sasa hivyo vitu unadhani usiponunua uliyepanda ndege unadhani ni nani atanunua?vimewekwa ili viuzwe na vinunuliwe......!!kwani kula ni ushamba???!!labda hao Fastjet ndo wanaweza kuwa washamba kwa kuuza vitu kwa trip ya one hour.Wabongo nao bwana, wanapenda kula njiani, kama mchwa! We safari ya Lisaa manunuzi kwenye ndege ya nini?? Sijui ushamba
Panda na chenji tena za sarafu...
Wa precision.bana kingeredha chao kitamu