Recent content by KABOCHO

  1. K

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kiasi chochote cha fedha niweze kujikimu kwa muda nitafutao ajira

    badilisha uzi omba ela ya mtaji
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume punguzeni papara mkiwa katika kufanya Tendo la Ndoa

    well said Mkuu ujumbe umefika
  3. K

    JamiiForums Tanzania Jifunze kupitia pythagoras

    philosophers of all time Thales is the father, Comes plato, Socrates, Aristotle, Kant, Rene Descarte bila Kumsahau kichaa epicures
  4. K

    JamiiForums Tanzania Trump to Sell attack-planes to Nigeria for Boko Haram Fight

    Buhari aliingia Kwa mbwembwe Za Kuwamaliza boko Aram bado anahitaji Kusolve the problem within religious diversity ambayo ipo Kubwa Nigeria na waislam they are inferior there
  5. K

    JamiiForums Tanzania China na Korea Kusini zimeionya kuiadhibu Pyongyang iwapo itarusha kombora lolote

    China wameshakuwa wanafik wanamuogopa Trump Kile Kikao cha Florida rais wao Kapigwa biti
  6. K

    JamiiForums Tanzania msaada wa Kuunlocked Homebase Tv

    wakuu habar Zenu, naomba mwenye ujuzi wa Kuunlock homebase tv, Niki washa inaleta chenga alafu inaon yesha Locked message, msaada tafadhali
  7. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu apokea ripoti ya Kifo cha Faru John. Ni kweli Faru John alikufa

    hivi faru John alioa wakuu?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aamuru Ney wa Mitego aachiwe huru na wimbo wake upigwe vituo vyote redio na TV

    Maguful Kacheza na akili za watu kacheza Kama Pele Kaweka Mpira nyavuni
  9. K

    JamiiForums Tanzania BASATA: Marufuku kusikiliza au kusambaza nyimbo zilizopigwa marufuku

    Basata watumie busara watuambie ni uchochezi gan uko Kwenye nyimbo, Kwan nyimbo imetaja ni viongoz wa nchi gan au rais gan, mahakaman Kesi hiyo wanashindwa waziwaz, poor Logic na waache F fallacy
  10. K

    JamiiForums Tanzania Wachawi wapanga kumuondoa Trump madarakani

    Ni B.B.C mkuu habar ya tareh 26 Febr
  11. K

    JamiiForums Tanzania DECI itamuua baba yangu kwa presha

    haina shida MKuu
  12. K

    JamiiForums Tanzania DECI itamuua baba yangu kwa presha

    wakuu mwenye taarifa yeyote Kuhusu DECI tafadhali tujulishane maana mzee wangu alipanda fedha nyingi huko na serikali iliahidi kufanya utaratibu watu warudishiwe fedha zao, Lakin naona Kimya, na mzee hatak Kusahau kila akikumbuka presha inapanda. Mwenye updates zozote please
  13. K

    JamiiForums Tanzania Steve Nyerere aongea na Wanahabari, amkaanga Wema Sepetu na Mama yake, Wasanii hawaidai CCM

    Anajaribu Kuzoa maji yaliyomwagika
Back
Top Bottom