- wakuu mwenye taarifa yeyote Kuhusu DECI tafadhali tujulishane maana mzee wangu alipanda fedha nyingi huko na serikali iliahidi kufanya utaratibu watu warudishiwe fedha zao, Lakin naona Kimya, na mzee hatak Kusahau kila akikumbuka presha inapanda. Mwenye updates zozote please