Recent content by kabatilambeho

  1. kabatilambeho

    Wazo: Uitishwe Mdahalo kati ya Magufuli Vs Lowassa

    :flypig::baby::israel::israel:
  2. kabatilambeho

    Unafiki wa Zitto Kabwe na suala la Posho - Lema

    Afadhani unisaidie kufunga huu mjadala PakaJimmy, risiti imetengenezwa hiyo maana huwezi kupokea Posho kwa kukatiwa risiti. Labda watu convice kuwa fedha yake ilirudishwa serikalini kwa kuwa hakupokea. I submit....
  3. kabatilambeho

    Shirika gani lilikufa na bado linakuuma?

    General tyres, Steel Rolling Mills,Bora,Urafiki Textiles Mills,Tanga fertilizers Ltd
  4. kabatilambeho

    Tumejifunza nini kwenye hotuba ya Museveni kwenye kuapishwa Kenyatta?

    Hutuba yake kwenye upande wa use of natural resource ilikuwa nzuri..hali ilibadilika tu pale alipoaanza kuzungumza mambo ya ICC, kwanza jukwaa lote la VIP likitoa macho, si kwamba walifurahi ila ukiwasoma walikuwa na mshangao kuona mzee anajianika mwenyewe kuanza kushabikia yeye kutowajibika na...
  5. kabatilambeho

    Kaka yangu ana mke

    Kaka zako wanawake
  6. kabatilambeho

    Shade of sine

    Hilo swali hata rais wetu hajui kwa nn watz ni maskini!!!??
  7. kabatilambeho

    CHADEMA: Usalama wa Taifa unatengeneza Ushahidi katika kesi ya Lwakatare

    Dhana ya kuchukua hatamu ya uongozi ni pamoja na kuunda upya serikali pamoja na idara zake. Hivyo usiseme hawawamini tu. Ni kweli kimazingira hawaaminini.
  8. kabatilambeho

    Je, Mh. Rais katususia nchi?

    Yuko bize na mambo ya kimataifa. Haya ya kitaifa atasolve PM
  9. kabatilambeho

    Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro apiga stop kumbi za starehe kuendesha shughuli zake

    halafu watawasongasonga watendaji wa halmashauri na TRA kuwa mapato hayakusanyi......mweeeee! hii tz sijui imelogwa????
  10. kabatilambeho

    Mke wa Rais Anapofungua Kituo cha Polisi

    Inaonesha U-D-H-A-I-F-U wa serikali....
  11. kabatilambeho

    Wahaya wote inawahusu!!!

    huyu jamaa si angeenda kwenye blogs za wahaya akatangaze?
  12. kabatilambeho

    ITV yaanika kila kitu na ushahidi wa kutosha kuhusu mauaji ya mwandishi huko Iringa

    Litapelekwa tu, wanangoja kesi ili waende mabwepande...
  13. kabatilambeho

    Picha za JK, mama Salma na mjukuu wao shambani kwao msoga.

    Jamani hizo raba ni HipHop style au?aweke matambala ili zimtoshe
  14. kabatilambeho

    Mzee wa trip yupo njia panda aende msiba upi?

    Mi nafurahi tu, hilo jina la Vasco Da Gama wa Tz
  15. kabatilambeho

    unaweza kusema nini hapa

    Socializing on fb
Back
Top Bottom