Wazo: Uitishwe Mdahalo kati ya Magufuli Vs Lowassa

JE MDAHALO WA WAGOMBEA URAIS UFANYIKE AU USIFANYIKE?

  • Total voters
    12
  • Poll closed .
Muda umefika. Wakati umetimu hadi sasa unatutia wazimu. Wagombea wameshapatikana. Wagombea wa uzito wa juu wapo tayari. Mmoja toka CCM na mwingine toka UKAWA. Dr. John Pombe Magufuli na Edward Ngoyai Lowassa wamehspitishwa na vyama vyao. Tungoje nini tena? Yamwageni maswali yenu hapa nikamkabidhi Mufuruki ili awaulize wagombea hawa.

Haya Bwana Mufuruki,uwanja ni wako. Andaa Mdahalo ili tuwaone na kuwasikia wagombea hawa. Mmoja anaitwa Tingatinga na mwingine Mzee wa Maamuzi magumu. Asikimbie mtu.

CCM yetu tafadhali mwaka huu imruhusu mgombea wetu kushiriki mdahalo. Mwaka huu ni mwaka wa demokrasia kuonekana usiku na mchana!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
 
ccm waoga watakataa tu.....wakija basi wamekwisha..maana yule wa kwao naona ni ziiigooo
 
km ni mdahalo wa kilometer za barabara mkaufanyie huko TANROADS lkn km ni mdahalo wa wagombea wa Urais sidhani km unaweza mlimganisha kwa data WAZIRI MKUU MSTAAFU(Msimamizi) VS WAZIRI WA UJENZI(mfanya kazi)
 
Muda umefika. Wakati umetimu hadi sasa unatutia wazimu. Wagombea wameshapatikana. Wagombea wa uzito wa juu wapo tayari. Mmoja toka CCM na mwingine toka UKAWA. Dr. John Pombe Magufuli na Edward Ngoyai Lowassa wamehspitishwa na vyama vyao. Tungoje nini tena? Yamwageni maswali yenu hapa nikamkabidhi Mufuruki ili awaulize wagombea hawa.

Haya Bwana Mufuruki,uwanja ni wako. Andaa Mdahalo ili tuwaone na kuwasikia wagombea hawa. Mmoja anaitwa Tingatinga na mwingine Mzee wa Maamuzi magumu. Asikimbie mtu.

CCM yetu tafadhali mwaka huu imruhusu mgombea wetu kushiriki mdahalo. Mwaka huu ni mwaka wa demokrasia kuonekana usiku na mchana!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

mzee tupatupa lowassa si muongeaji.. yaani public speaking ni zero kabisa.... CDM watagaragazwa ... alafu mzee ni mgonjwa sidhani kama ataweza kuhimili mikikimikiki ya magufuli....
 
Magufuli si saizi ya bwana mamvi, lowasa yupo level za akina Obama uje umfanyishe mdahalo na Masolex?
 
mzee tupatupa lowassa si muongeaji.. yaani public speaking ni zero kabisa.... CDM watagaragazwa ... alafu mzee ni mgonjwa sidhani kama ataweza kuhimili mikikimikiki ya magufuli....

Mkuu kwani wanaenda kurushiana makonde?
 
CCM hamna huruma na mgombea wenu Magufuli ataongea nini zaidi ya kusema sura yangu ni mbayambaya usiku wakati mwingine inakuwaga nzuri Samia mwenyewe ana sura nzuri............?,
 
km ni mdahalo wa kilometer za barabara mkaufanyie huko TANROADS lkn km ni mdahalo wa wagombea wa Urais sidhani km unaweza mlimganisha kwa data WAZIRI MKUU MSTAAFU(Msimamizi) VS WAZIRI WA UJENZI(mfanya kazi)

With all due respect, Huwezi kumlinganisha Magufuli na Lowassa. Lowassa hatamudu;

1. Afya yake haimruhusu.
2. Kujua kwa ndani serikali haimaanishi ndiyo uwezo wa kumiliki jukwaa.
3. Lowassa yuko katika loosing side(personally) i.e he has alot to convince kitu ambacho tunajua HAWEZI.

But they have one thing in common poor speech though,(just the matter of degree)

"Nachukia umasikini, Nataka nchi hii mwe matajiri "- Lowassa.

"Nitakuwa pamoja nanyi, sitaawaangusha" - Magufuli
 
Lowasa mgonjwa, wala hawezi kuongea hatamuweza Magufuli.
 
Ni kama ukiendesha madahalo kwa mchina na muhindi wanaojifunza Kiswahili. Haaa haaa mdahalo huu utakua vichekesho
 
Tunatafuta rais mchapa kazi sio muongeaji kama unamtaka muongeaji kamfuate mc pilipili....
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
With all due respect, Huwezi kumlinganisha Magufuli na Lowassa. Lowassa hatamudu;

1. Afya yake haimruhusu.
2. Kujua kwa ndani serikali haimaanishi ndiyo uwezo wa kumiliki jukwaa.
3. Lowassa yuko katika loosing side(personally) i.e he has alot to convince kitu ambacho tunajua HAWEZI.

But they have one thing in common poor speech though,(just the matter of degree)

"Nachukia umasikini, Nataka nchi hii mwe matajiri "- Lowassa.

"Nitakuwa pamoja nanyi, sitaawaangusha" - Magufuli

Lowassa ni presidential material. ni mchapa kazi. Tatizo la watanzania wengi ni wajinga. na kwa ujinga huo CCM wamewafanya mtaji, yaan watu wanashabikia tu bila hata kufanya tathmin ya nn CCM wamekifanya, kwa mfano, MAENDELEO, ushiriki wa wabunge wa sisiem katika kuwakilisha wananchi wa majimbo yao na taifa kiujumla. CCM HAWAFAI HATA KIDOGO.
 
Back
Top Bottom