Mke wa Rais Anapofungua Kituo cha Polisi

Mnategemea nini nchi hii, wakuu wa mikoa wanaenda kwenye fiesta in their official capacities, mke wa waziri mkuu anamuuliza mumewe matatizo ya maji ya wilaya ambayo sio mkazi, tena kwenye mkutano wa hadhara, mbunge wa afrika mashariki kwa title yake ya mbunge, aenda ubalozini kumsalimia balozi.

Madudu mengi sana nchi hii.

Watu ni mabingwa wa kukurupuka.
 
Inaonesha U-D-H-A-I-F-U wa serikali....

Mke wa Rais wa Zanzibar mama Mwanamwema Shein amezindua kituo cha polisi cha Tumba mkoa wa Mjini Magharibi.Katika uzinduzi wa kituo hicho, kamishna wa Polisi Zanzibar Mussa Ali Mussa ndiye alikuwa mwenyeji wa mama Mwanamwema.

My take: Katika siku za nyuma uliwahi kuzuka mjadala kuhusu shughuli za kisisa alizokuwa anazifanya Mama Salma Kikwete na akawa anasomewa taarifa za maendeleo na wakuu wa mikoa, wilaya nk. Watu wakahoji yeye ana wadhifa gani serikalini. Sasa Hili la kituo cha polisi imekaaje wakuu?
 
Back
Top Bottom