Picha za JK, mama Salma na mjukuu wao shambani kwao msoga.

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
[h=3][/h]

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa na mjukuu wao Aziza Ridhiwani (3) katika ghala ya mahindi yaliyovunwa kwenye shamba lao kijijini Msoga, nje kidogo ya mji mdogo wa Chalinze, Mkoa wa Pwani. Rais Kikwete ni mkulima na mfugaji kijijini hapo na ameonesha kufurahishwa sana na mavuno makubwa ya mahindi shambani kwake. Hii katika kutekeleza kwa vitendo sera ya Serikali ya kuendeleza kwa ari mpya, kasi mpya na nguvu mpya sekta ya kilimo katika Tanzania.

Picha na Ikulu
 
mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe, je ni baada ya miaka 8 au kabla
 
Picha Nyingine Zinapunguza hata privacy ya muheshimiwa!! Anyway ni style aliyochagua kuwa open!!
 
poa sana ingawa kama walikuwa wanapita tu enzi za mwalimu unamkuta jk swa ukweli shambani na gunboot yani kama mkulima
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa na mjukuu wao Aziza Ridhiwani (3) katika ghala ya mahindi yaliyovunwa kwenye shamba lao kijijini Msoga, nje kidogo ya mji mdogo wa Chalinze, Mkoa wa Pwani. Rais Kikwete ni mkulima na mfugaji kijijini hapo na ameonesha kufurahishwa sana na mavuno makubwa ya mahindi shambani kwake. Hii katika kutekeleza kwa vitendo sera ya Serikali ya kuendeleza kwa ari mpya, kasi mpya na nguvu mpya sekta ya kilimo katika Tanzania.

Picha na Ikulu

hahaaaa.yaani msinichoshe wala nisiwachoshe kwa kifupi tusichoshane..either hizo raba za JK ni kubwa kuliko mguu au JK ana kilema kwenye mguu wa kulia..
 
RIP Meles Zenawi @ Addis Ababa. Punde mwakilishi wetu mkuu atakuja kushiriki mazishi yako.
 
huo mguu unang'aa . sio mchezo. kitu kipyaaaaaa lainiiiiiiii.
 
hahaaaa.yaani msinichoshe wala nisiwachoshe kwa kifupi tusichoshane..either hizo raba za JK ni kubwa kuliko mguu au JK ana kilema kwenye mguu wa kulia..

Wewe Umesahau au Nini Wazee wengi walikuwa wanapenda kununulia wanao Viatu Vipya Vikubwa kidogo ili iwe shida kwako

Kuvivaa kila siku na vitadumu ukikua; Sasa nadhani hiyo Mantiki Bado iko akilini Mwake... Hauni baadhi ya suti zake ni kubwa?

Hajui ameisha komaa... Hakui teneeena....
 
..hizo raba alizovaa JK mbona kubwa??

..imenikumbusha enzi za kuweka matambara kwenye viatu oversize.

Umeona eenh!
Utafikiri kaweka vitambaa kwenye kisigino.

Alikwenda kupiga picha na mahindi. Si unaöa yeye, mjukuu na mama walivyojiandaa. Nafikiri mpiga picha alimwambia Salma, pandisha nguo kiatu kionekane. Naye akapandisha na kuipiga ribeti ya mkono isishuke. Mwee!!
 
Mh jamaa kawaka ila kasahau kua T-shirt yake jeans.......looks guuuuuuuuuuud prezdaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom