Mzee wa trip yupo njia panda aende msiba upi?

MKATA KIU

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,870
6,254
Wadau poleni sana na msiba wa the great na presdaa wa malawi,
Tusaidiane kumshauri vasco da gama wetu maana wakati anapanga mabegi awai zake lilongwe kapata taarifa zingine ambazo zimemchanganya achague wapi?
 
aende tu malawi maana huku msiba wa kanumba hadi watoto wa tandale wapoooooo!
 
usikute alishajaza alowance ya kwenda lilongwe..! mi nashaur apitie sinza atoe tamko zen lilongwe, simpo like zat
 
Lazima atakua na furaha sana maana hajahudhuria siku nyingi shughuli kama hizo!! kucheka cheka kutakua kumeongezeka kwa asilimia 2.41%
MP.
 
Back
Top Bottom