Recent content by kabangila

  1. K

    JamiiForums Tanzania WHO: Hakuna ugonjwa wa Zika Tanzania

    Ridiculous, sijawahi ona IGP anazungumzia ualifu uliyotokea eneo la OCD, yeye anasubiri aletewe taarifa siyo kumkanusha OCD. Kama siasa za sasa ni internationals kuingilia pia mamlaka husika za ndani basi tuna kazi kubwa.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ikulu kupokea pesa taslim inatufundisha nini sisi huku uraiani?

    Ikulu imeanza kuchukua hela za wafanyabiashara.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ashiriki ibada katika kanisa la Antoni Lusekelo, atoa ahadi ya barabara

    Kuna barabara huku mbovu kila siku magari yetu yako gereji na hali tunalipa kodi za viwanja na PAYE za kutosha! Kama Rais anaanza kukimbilia cheap popularity namna hii, Kushney.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Balozi Dr. Dau (PhD), mtumishi wa kupigiwa mfano

    We ni m.....vu kabisa.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kozi za Afya 2016/17, Ushauri na maoni

    Royona College ni moja vyuo vinavyofungua april, deadline ni 30th april.
  6. K

    JamiiForums Tanzania ROYONA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCES

    Inaanza april. Mwisho wa kuapplu kupitia NACTE ni 30 march. Royona College; Umri Mdogo Elimu Kubwa
  7. K

    JamiiForums Tanzania Beach plot for sale

    Sh ngapi?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Athari ya mashine za Quantum Magnetic Analyser

    Unaenda kuchangia hela watu, hakuna sayansi pale ni wizi tu.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Walichotufanyia CRDB Mlimani City siku ya Krismasi

    CRDB bado ni benki bora Tanzania, makosa haya ni madogo sana. Mngefanya sample ya wateja wao zaidi ya wengi ni wangapi kati yao au % ngapi hairidhiki na iko significant basi tungewahukumu lakini hivi vya watu 2 au 3 ni unafiki tu. Barabara ndefu haikosi kona na mwanamke mzuri hakosi kasoro. CRDB...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Dr. Mwaka, tunaomba majibu hapa tafadhali

    Unajuaje kuwa haukuwa na ugonjwa wa 'Msongo wa mawazo' ?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Polisi wasipochukua hatua, sisi tutachukua hatua wenyewe

    We mtu umelaaniwa.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nimeamini life sio fear.. HESlb

    Kuna mgombea alisema elimu bure ila mkafuata elimu ya mkopo. Msimlaumu Rais Magufuli yuko busy na suala la afya kwa sasa.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Magufuli: First EA President with a doctoral degree

    Shein hatambuliki kama Rais nje ya Tanzania, maana huko Zanzibar ni mkoa wa Tanzania.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Tunapoelekea CUF ndiyo watatamani ukawa isife...

    Kwa mara nyingine tena mkatoliki anatawala Tanzania! Raha sana.
Back
Top Bottom