Athari ya mashine za Quantum Magnetic Analyser

manchoso

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
1,605
2,055
Quantum magnetic analyser ni mashine ya kupima magonjwa mbalimbali ambayo imeingia hapa kwetu na nimeiona zaidi kwa hawa waganga wa tiba asilia na kama una matatizo yeyote ya mapafu maini figo nk.

Ukweli ni kuwa wengi katika sisi tuna tatizo hili au lile la kiafya hakuna yeyote anaweza akasimama na kusema mimi ni mzima 100% kutokana na hivi vyakula na vinywaji artificial tunavyotumia ubora wa mashine hii ina uwezo wa kudetect kila aina ya sumu mwilini mwako na wakakupa tiba ukawa uko fiti 100%.

Nami nimevutiwa na matangazo yao nataka niende nikapimwe katika hii mashine ila wao wanataja faida zake tu labda sababu ya biashara sijawasikia wakizungumzia madhara yake.

Hivyo nimekuja humu jamvini nikiamin kuna member wengi wana upeo na ufahamu wa mambo mabalimbali ndo mana wanaitwa great thinkers wanaweza kunisaidia na ushauri juu ya jambo hili nisije nikaingizwa chaka nikaona naenda kutibiwa kumbe ndo kwanza naongeza maradhi.

Natanguliza shukrani zangu nyingi kwenu.

is.jpg

Last edited by a moderator:

View attachment 315418

Unaenda kuchangia hela watu, hakuna sayansi pale ni wizi tu.
 
Juzi nimepima mapafu Kwa wahindi Fulani hivi, unavuta hewa Kwa ndani Kwa nguvu alafu unatoa nje. Then in print report. Ingawa nilionekana nipo normal lkn machine ni nyingi sana siku hizi inabidi kuzihakiki wasije kutuhadaa wanainchi.
 
Back
Top Bottom