unakosea kusema hivo, one of the most common gynecological problem katika washichana wa umri wa kati ni endometriosis ikifuatiwa na fibroids while wazee ni carcinoma of the cervix ... haya magonjwa yote husababisha kutopatikana kwa ujauzito... na moja ya P.E yake ni kufanya pelvic exam! Mwaka hana utaalamu wa kufanya hayo sababu he is not trained to do so...
Carcinoma of the cervix inaabia ya kufuja damu inapogusa tu na kitu kizito chochote... Mwaka hana utaalamu wa ku stop severe bleeding! mwaka he doesnt even know how to stitch an artery ...
Maoni yangu - aendelee kutibu kutoa dawa zake lakini asiingilie kufanya aina za physical examinations ambazo hana utaalamu nazo... tunazungumzia maisha ya watu hapa tuache ushabiki....
ingelitokea la kutokea siku mgonjwa kafariki kwenye clinic yake sababu amevuka mipaka ya utabibu mngeanza kuilaumu serikali ... sasa serikali imeingilia hili suala wacheni warekebishe ...
hao ni MD, AMOs na Ass. medical officers they well trained what to do , kama unamuasho sehemu za siri lazima nikwambie utoe nguo je kama una syphilis..?! Medical school katika hatua za kufanya check tunaanza na
1)Observation (Kuangali, nature ya rush , kidonda, au kama kutembea anavotembea mgonjwa )
2)Palpation (kugusa na kuangalia nature ya rush au uvimbe kama ni smooth, rough , or if u can go over it.. kila kitu hapo kina maana yake na kinatuongoza ufanye kipimo gani next.. only a trained physician will know this
3)Auscultation (hapa tunatumia kile kifaa anachovaa mwaka shingoni )
kwa hiyo watu hawakurupuki tu! mkuu
well kama hakuna aliyelalamika anadhalilishwa hamna kesi , unless kama mtu amelazimishwa ila kuna kitu tunaina Ethics !! kila taaluma ina miiko yake ... na utabibu una miiko yake ! Mwaka haifahamu ndio maana anavuka mipaka..
Issue ya kimeo mi mwenyewe nilikatwa nilipokuwa mtoto kijijini kwetu! hao wakata vimeo, wamasai na wataalamu wengine wa tiba mbadala umeona wakijitangaza ni wataalamu wa magonjwa ya watoto ..? je umeona wakifanya uchunguzi ule unaofanya na wataalamu wa kisasa watoto wanapopelekwa kwao...? zaidi ata concetrate katika area yake akishindwa kama kunahitaji upasuaji, kuongezewa damu , kuna kinyama katika njia ya haja kubwa , huwaoni wakivuka mipaka na kuendelea... unajua kwa nini? kkwa sababu wanajua wao sio wataalamu wa hizo issue..
watakupa huduma , kama kukatwa kimeo utakatwa, kama dawa za wamasai watakupa dawa zao hujapona shauriyako hawakuiti kufanya ultrasound , kufanya digital rectal exam na mengineyo.....
inategemea ni utaalamu wa aina gani .. kama ni utabibu kwa kutumia modern medicine yes lazima uwe na vyeti ..
hayo maelezo anayoyatoa ni tofauti na kinachofanyika ndani ya kuta za clinic yake tatizo ndipo lipo hapo....
Huyu jamaa anafanya nini huko? Mimi nashauri yawekwe wazi. Kuna ushabiki tu bila kutuambia KISA HASA NI NINI. Maana kuna mtu hapa kasema anaonekana amevaa kitu gani sijui shingoni tofauti na haya unayoniambia sasa.
Kuhusu examinations kwenye zahanati zetu, upi ni utaratibu: IPO RUHUSA YA DAKTARI MWANAUME KUMFANYIA UCHUNGUZI MWANAMKE WAKIWA WAO WAWILI TU?
Ikiwa si hivyo, basi TUMEOZA. Ni gumzo la kawaida kabisa baina ya wanawake 'aah, mshenzi sana yule dokta, usimwambie una muwasho, lazima akuvue nguo' ni sawa kweli mjibaba kuwepo huko nyuma ya pazia peke yake umkague papuchi wife wangu....mmmh!
Tutunze afya zetu, kuumwa ni mtihani
I feel you Dr Preta. Sending hugs your way. :grouphug:Naomba kuuliza - Je mnajua mustakabali wa huyu doktra mwenzenu, ni kweli katoroka hayupo nchini?"
Dr. Preta! Mwaka amefanya makosa katika utambulisho wake..
1) Angejinasibisha ni mtaalamu wa Tiba Mbadala kama Mkuu Mzizi Mkavu wa JF
2)Mwaka picha nyingi ninazoziona kwenye mitandao na matangazo amening`iniza stethoscope shingoni... sidhani kama anajua hata kuitumia ? Heart sounds takes years of practice kuzi master ndio maana medicine ni miaka 5 mpaka 6
3)Anapicha nyingine amebeba kitabu cha Obstetrics and Gynecology yeye ni mtaalamu wa tiba mbadala hicho kitabu ni cha nini ? amefika mbali na kujinasibisha ni Mtaalamu wa magonjwa ya kina mama ... jamani! kuwa gynecologist lazima uende Medical school miaka 5 mpaka 6 , ufanye mwaka mmoja wa internship then urudi shule ku specialise miaka 4 tena... mwaka yeye amefanya training ya mwaka mmoja na red-cross china anajiita gynecologist ????
4) Pelvic Exam, kufanya uchuguzi sehemu za siri za kina mama na dada zetu "ONLY A QUALIFIED PHYSICIAN NDIO ANARUHUSIWA JUST INCASE IKATOKEA SEVERE BLEED , A PHYSICIAN WILL KNOW HOW TO INTERVENE " Sidhani Mwaka kama anaweza kushona hata kidonda..
5) Unapofanya pelvic exam kuna some modern equipment's zinatumika again only certified physician ndio anaruhusiwa kuvitumia ... mfano kama mwana mama ana matatizo ya kizazi kumbe she has Carcinoma of the cervix, most of CAX ukigusa tu zina bleed ,, je mwaka ana blood bank pale clinic yake ?!! JE IKATOKEA MGONJWA AMEFARIKI WAKATI MWAKA AKIFANYA PELVIC EXAM UNAJUA ITAKUWA NI MURDER CASE ?! SABABU MWAKA HE WAS NOT TRAINED KUTOA HIYO HUDUMA.
MWISHO
Mimi sina neno na Mwaka! ila tu arudi kwenye misingi yao ya tiba mbadala na asifanye utatibu kama wanavofanya madactari wa modern medicine including kufanya Pelvic exam...
Kuna watu wanacomplain mbona kikombe cha babu watu walitumia ... well babu hakuvaa stethscope , babu hakujiita gynecologist, babu tiba yake ilikuwa ni kiimani zaidi...
hata sisi waislam tuna wataalamu wetu wa tiba za kissuna huwasikii wakijitangaza ni ma gynecologist wala kufanya uchunguzi wa kizazi kama mahospitalini wanavofanya...
Mwaka amshukuru sana Mh.Dr. H. kingwa! sababu ingefika siku mgonjwa akafariki basi mahakamani angehukumiwa kama muuaji sababu si tabibu aliyekuwa trained kufanya yale anayo yafanya ...
shida kweli kweli , kama nawaona wakina mbwiga na shafii wanavyonuna ujio wa kigwangala.mwaka ujao no ndondo cup.
nina mtu wa karibu alifanikiwa kupata mtoto kwa tiba ya (dr.) mwaka
naona katika watu waliochangia kwenye uzi kwa kutumia akili za makalio, mkuu unaongoza maana uliongea hapa ni kinyesii, ndio maana we ni mtoka kinyesiniii!naona sasa kila mwenye mdomo anaonesha ujuzi wa kuongea.
Mkuu, naomba nikukumbushe kuwa tule uthubutu alionao dk.mwaka hao mnaowasifia pamoja na miaka mingi chuoni wameukosa. Hata km the so called dokta mwaka amekosea, the motive behind all these debates ni kutafuta umaarufu na wivu wa kike.
Hivi, kuna mtu anaweza kwenda kutibiwa sehemu kwa kuwa tu ameona dokta amevaa sijui kitu gani shingoni?
Mara ngapi huyo mwaka kwenye vipindi vyake anarudia na kurudia kuwa yeye ni mtaalam wa tiba zenye kutumia mimea na matunda?
Akili za namna ya hili jopo lenu la wivu wa kike na ushabiki ndio zinatuletea mauaji ya albino, sbb mnaamini traditional clinic uchunguzi unapaswa kufanywa na ramli kumbe mmesahau kuwa modern traditional clinics zimeboreka.
Unatoa hoja ya kijinga kijinga hapa ukisahau kuwa, kigwangala and co wanafahamu fika kuwa, baada ya serikali ya ccm kushindwa kuboresha huduma za afya kwa miaka 50+ ya uhuru, kuna idadi kubwa ya kinamama vijijini wanajifungulia kwa wakunga wa jadi ambao hata hicho cheti cha red cross hawana, hao mbona wanaitwa midwives, uliwasomesha wewe?
Tuache kutafuta sifa za kijinga na ubiiiiingwa wa kuongea. Kinachowafanya muache kazi zenu ni kwa kuwa tu dk mwaka amefanikiwa lkn km kuna kazi ya maana inafanyika hapo si kweli. Waziri apeleke mswada bungeni kuomba zile ashok leyland za polisi zibadilishwe matumizi na kuwa ambulance vijijini. Wanaoenda kwa dk mwaka hawajafungwa kwamba, wanaenda kwa kuwa ukienda zahanati ya kigogo dktari ni mtoto mdogo ambaye we unaongea naye ye anachat na simu
Dr. Preta! Mwaka amefanya makosa katika utambulisho wake..
1) Angejinasibisha ni mtaalamu wa Tiba Mbadala kama Mkuu Mzizi Mkavu wa JF
2)Mwaka picha nyingi ninazoziona kwenye mitandao na matangazo amening`iniza stethoscope shingoni... sidhani kama anajua hata kuitumia ? Heart sounds takes years of practice kuzi master ndio maana medicine ni miaka 5 mpaka 6
3)Anapicha nyingine amebeba kitabu cha Obstetrics and Gynecology yeye ni mtaalamu wa tiba mbadala hicho kitabu ni cha nini ? amefika mbali na kujinasibisha ni Mtaalamu wa magonjwa ya kina mama ... jamani! kuwa gynecologist lazima uende Medical school miaka 5 mpaka 6 , ufanye mwaka mmoja wa internship then urudi shule ku specialise miaka 4 tena... mwaka yeye amefanya training ya mwaka mmoja na red-cross china anajiita gynecologist ????
4) Pelvic Exam, kufanya uchuguzi sehemu za siri za kina mama na dada zetu "ONLY A QUALIFIED PHYSICIAN NDIO ANARUHUSIWA JUST INCASE IKATOKEA SEVERE BLEED , A PHYSICIAN WILL KNOW HOW TO INTERVENE " Sidhani Mwaka kama anaweza kushona hata kidonda..
5) Unapofanya pelvic exam kuna some modern equipment's zinatumika again only certified physician ndio anaruhusiwa kuvitumia ... mfano kama mwana mama ana matatizo ya kizazi kumbe she has Carcinoma of the cervix, most of CAX ukigusa tu zina bleed ,, je mwaka ana blood bank pale clinic yake ?!! JE IKATOKEA MGONJWA AMEFARIKI WAKATI MWAKA AKIFANYA PELVIC EXAM UNAJUA ITAKUWA NI MURDER CASE ?! SABABU MWAKA HE WAS NOT TRAINED KUTOA HIYO HUDUMA.
MWISHO
Mimi sina neno na Mwaka! ila tu arudi kwenye misingi yao ya tiba mbadala na asifanye utatibu kama wanavofanya madactari wa modern medicine including kufanya Pelvic exam...
Kuna watu wanacomplain mbona kikombe cha babu watu walitumia ... well babu hakuvaa stethscope , babu hakujiita gynecologist, babu tiba yake ilikuwa ni kiimani zaidi...
hata sisi waislam tuna wataalamu wetu wa tiba za kissuna huwasikii wakijitangaza ni ma gynecologist wala kufanya uchunguzi wa kizazi kama mahospitalini wanavofanya...
Mwaka amshukuru sana Mh.Dr. H. kingwa! sababu ingefika siku mgonjwa akafariki basi mahakamani angehukumiwa kama muuaji sababu si tabibu aliyekuwa trained kufanya yale anayo yafanya ...
Mie nilitibiwa ugonjwa wa pumu na watu hawa hawa wa mitishamba ambapo hospitalini walishndwa kunitibia badala yake walikuwa wananipatia za kutuliza tu
Muoneeni huruma wakuu mana shule tatizo pale, ila kama kweli anatibu na watu wanapona sio vibaya serikali kuangalia namna ya kumsahuri afanya kazi zake kwa usahihi bila ujanjaujanja
Apo namba 2 mfano hai ni yule babu wa LOLIONDO katoa wapi cheti na dawa yake ya kikombe???1. Ningetaka kujua kama unajua pasipo shaka kwamba ni hivyo vyeti viwili tu ndivyo alivyo navyo na hana vyeti vingine vyovyote.
2. Pia ningetaka kujua kipi ni muhimu kwenye tiba mbadala: kuwa na cheti au kutibu na mtu akapona.
3. Nasemea haya kwa sababu kuna baadhi ya waganga wa tiba mbadala wanatibu kwa kutumia uzoefu wao wa muda wa mrefu na hawana vyeti na baadhi ya waliotibiwa wanasema wamepata nafuu au wamepona kutokana na kuzunguka muda mrefu hospitalini bila mafanikio na walipoenda kwa hao waganga wa tiba mbadala walifanikiwa na matatizo yao yameisha.
4. Ili kuona nani ni nani ni afadhali huduma za hospitali ziboreshwe ili watu wasilazimike kutafuta tiba mbadala sehemu zingine.
5. Binafsi namkubali Dr Mwaka maana kwanza huwa anawaambia wateja wake kwenda hospitali na wasipopata nafuu wajaribu kwenda kwake, lakini kwanza ni lazima wawe na vyeti vinavyoonyesha tatizo lao na jinsi lilivyoshughulikiwa hadi kushindikana.