Tunapoelekea CUF ndiyo watatamani ukawa isife...

Tunapoelekea CUF ndiyo watatamani ukawa isife...

Kuna watu huku ni wakubwa lakini mawazo yao hayana maana.ukimchukua mtoto wa miaka 7 na mzee wa miaka 87 watakalishwa tuu
 
Linganisha viti vya CDM na CUF uchaguzi uliopita na wa sasa. Ndiyo maana yangu. Huna hizo takwimu?
CUF wameshinda viti 10 toka 2 ambayo ni nyongeza ya 8 wakati CDM wameshinda viti 35 ambayo ni nyongeza ya viti 12 sasa hapo CDM wamepata hasara gani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom