Magufuli: First EA President with a doctoral degree

Hii tabia watanzania mmeitoa wapi? Mbona mnamajungu sana kila siku kuwapiga majungu viongoz wenu hivi hamuoni aibu?

Jaribuni kuficha ujinga basi hamuoni kwenye forum za wenzenu mliona wapi wanapiga majungu marais wao?

Ongeleen mambo ya msingi kwa taif hili sio majungu. Hivi kujua kujua au kutokujua kiingereza kunawasaidia nini?

Wenzenu wakenya wanaambatana na rais wao kujenga uchumi wa nchi yao, Uganda wanaambatana na rais wao pamoja na kutawala kwa mda mrefu lakn hawana majungu kama yenu, Rwanda wapo kimya na kagame wao lakn nyinyi kazi yenu kuongea majungu tu. Mijitu imekalia majungu utafikir hayo majungu ndio yatawakomboa mbwa nyinyi
 
Jamani huyo anae mwita Magufuli Idiot ni binadmu au shetani?kakufanyia nini kibaya mpaka umtukane?hapana hiyo ni zaidi ya matusi...naomba wahusika mumfuatilie huyo mtu, hafai hata kuishi kwani ni hatari zaidi ya sumu!ee MUNGU tusaidie.
 
Dr. Shein ni daktari wa mifugo

Shein completed his secondary education at Lumumba College, Zanzibar. In 1969?1970 he joined Preparatory Faculty, Voronezh State University, USSR for ?A? Level High Education before he took an undergraduate course from 1970?1975 at Odessa State University, USSR 1984?1988. Dr. Shein attained A Master of Science in Medical Biochemistry at the Medical School University of Newcastle England, U.K. Dr.Shein was awarded Doctor of Philosophy (PhD) in Clinical Biochemistry and Metabolic Medicine, specializing in ?Inborn Errors of Metabolism?. He completed a course in HIV/AIDS in Developing Countries at the University of East Anglia in 1995.

Source: https://en.wikipedia.org/wiki/Ali_Mohamed_Shein
 
Shein hatambuliki kama Rais nje ya Tanzania, maana huko Zanzibar ni mkoa wa Tanzania.
 
Shein completed his secondary education at Lumumba College, Zanzibar. In 1969?1970 he joined Preparatory Faculty, Voronezh State University, USSR for ?A? Level High Education before he took an undergraduate course from 1970?1975 at Odessa State University, USSR 1984?1988. Dr. Shein attained A Master of Science in Medical Biochemistry at the Medical School University of Newcastle England, U.K. Dr.Shein was awarded Doctor of Philosophy (PhD) in Clinical Biochemistry and Metabolic Medicine, specializing in ?Inborn Errors of Metabolism?. He completed a course in HIV/AIDS in Developing Countries at the University of East Anglia in 1995.

Source: https://en.wikipedia.org/wiki/Ali_Mohamed_Shein

Alafu akaishia kuwa mwanasiasa!! Pathetic.
 
Dr.Shein worked as a Clerk at the Ministry of Education and Assistant to the Deputy Principal Secretary from May 1969 – September 1969. In 1976–1984 he was Head of the Department of Diagnosis and the Department of Patgy at the Ministry of Health. He was also Specialist in Diagnosis and Head of the Department of Pathology, Ministry of Health from 1989–1991. From Nov. 1991 – July 1995 Dr.Shein served as a Programme Manager, AIDS Prevention Project at the Ministry of Health, and Advisor to the Ministry on Laboratory Services and Diagnosis. Dr. Shein was appointed by the President of Zanzibar to be Member of the House of Representatives on 29 October 1995. He was then appointed Deputy Minister of Health on 12 November 1995.From 6 November 2000 he was Member of the House of Representatives at Mkanyageni Constituency in Zanzibar before appointed to be a Minister of State, President's Office, Constitution and Good Governance in Zanzibar on 22 November 2000 and later on Vice President of Tanzania July 2001.[SUP][2][/SUP]
 
He is also the first idiot president ever who knows nothing about other countries who doesn't understand the language you are writing

Kuwa mwangalifu na kauli zako. Hauna uhuru Kama unavyojidanganya. Mkono wa sheria utakufikia POPOTE.
 
Back
Top Bottom