WHO: Hakuna ugonjwa wa Zika Tanzania

WHO: Hakuna ugonjwa wa Zika Tanzania

nashauri tafuta ile chapisho la wale watafiti ambalo limeonyesha 43% ya watoto waliozaliwa wakiwa na matatizo ya kimaumbile wamekutwa na virus vinavyosababisha Zika kisha ukishaisoma ndio uje kuongelea habari za UKAWA. Kila issie lazima muingize UKAWA hata kama hawahusiki
43%
Awamu hii mnalo
Nguvu ya viroba kutoa
Unalazimisha njano kuwa nyekundu!!!
Najua Mlikunywa viroba sana kusherehekea ZIKA hahaha
 
Swali:
Sasa kama tunaweza kupewa taarifa na WHO, kwa nini tuna NIMR?
WHO au UNWHO. United Nations World Health Organization. Ndiyo wahusika na wafadhiri wa mambo yanahusiana na afya ya binadamu. Hata NIMR watafanya kazi but lazima kuna muunganiko na hawa. Hawa ndiyo wathibitishaji na si mwele.
 
WHO: Hakuna ugonjwa wa Zika Tanzania

Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema hakuna taarifa za ugonjwa wa Tanzania na hakujawahi patikana mtoto aliyezaliwa na dalili hizo.

Hayo yamesemwa leo (Jumamosi) na Mwakilishi wa shirika hilo nchini Tanzania, Dk Grace Saguti alipozungumza na waandishi wa habari.



Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema hakuna taarifa za ugonjwa wa Tanzania na hakujawahi patikana mtoto aliyezaliwa na dalili hizo.
mwananchi.co.tz
Tafiti hupigwa kwa tafiti watuambie niutafiti gani uliofanywa kwa haraka kupinga iyotafiti ya kwanza? Tusidanganyane wameona watu wamepaza sauti kwenye mitandao wametuma watu kuja kuzima sauti hizo binafsi siamini walichosema hao WHO maana watu wanafanya Kazi kwa mashinikizo sana ukienda kinyume umeenda na maji
 
WHO au UNWHO. United Nations World Health Organization. Ndiyo wahusika na wafadhiri wa mambo yanahusiana na afya ya binadamu. Hata NIMR watafanya kazi but lazima kuna muunganiko na hawa. Hawa ndiyo wathibitishaji na si mwele.

Ridiculous, sijawahi ona IGP anazungumzia ualifu uliyotokea eneo la OCD, yeye anasubiri aletewe taarifa siyo kumkanusha OCD. Kama siasa za sasa ni internationals kuingilia pia mamlaka husika za ndani basi tuna kazi kubwa.
 
Ukawa na wapinzani wa serikali wataikataa taarifa hii sababu ya wanayoyawaza wao.. Ila taarifa ya Mwele ingekua imesema hakuna Zika, alafu wakaja, who wakasema ipo ukawa wangeunga mkono hii ya who.. Wanapenda kusikia taarifa mbaya tu katika Taifa
And vice versa is true
 
Yaani huyu wa WHO anasema hivi: Tanzania hakuna ugonjwa wa Zika kwa sababu hakuna mtoto aliyezaliwa na dalili hizo. Kwa maneno mengine kipimo cha kuwepo Zika ni kuzaliwa mtoto mwenye dalili za Zika na wala sio kutumia njia nyingine kubaini ugonjwa huo. Je, WHO wamepitia utafiti wa NIMR tayari na kukuta kuwa ule utafiti ulikuwa ni wa kutengeneza?
Hivi wewe umesoma walichosema NIMR?

NIMR walisema kuna watoto wamezaliwa na ulemavu kutokana na Zika na ndio sababu WHO wamesema hakuna mtoto aliyezaliwa na dalili hizo!
 
Hao WHO wamefanya utafiti? Au ametumwa kusema....
 
WHO: Hakuna ugonjwa wa Zika Tanzania

Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema hakuna taarifa za ugonjwa wa Tanzania na hakujawahi patikana mtoto aliyezaliwa na dalili hizo.

Hayo yamesemwa leo (Jumamosi) na Mwakilishi wa shirika hilo nchini Tanzania, Dk Grace Saguti alipozungumza na waandishi wa habari.



Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema hakuna taarifa za ugonjwa wa Tanzania na hakujawahi patikana mtoto aliyezaliwa na dalili hizo.
mwananchi.co.tz
Link Kosa kubwa la Malecela wa NIMR: Rais kaona mbali athari za ZIKA

Hao aliewakuta Dr Malecela ni akina nani!?!?

Link WHO: Hakuna ugonjwa wa Zika Tanzania.
 
Hivi wewe umesoma walichosema NIMR?

NIMR walisema kuna watoto wamezaliwa na ulemavu kutokana na Zika na ndio sababu WHO wamesema hakuna mtoto aliyezaliwa na dalili hizo!

Issue ni kipimo au mpimaji?
 
Kwani hata kwa Dangote simlikuja na matamko ya kupinga design hii mwisho wa siku serikali ikachutama?
 
WHO ndiyo wenye data sahihi ma ndo watoa matamko na si NIMR. Mwele alipotoka sana nadhani alikiwa kapata wine.

Kama WHO ndio wana data sahihi NIMR ya nini sasa? Kwa hiyo mtoa tamko always yupo sahihi? WHO wanasemaje kuwepo kwa Zika virus?
 
Ungefurahi lsbda kama wangesema
Mtoto wa ndugu yako anao!!
Lakini ndio hivyo hakuna

Wewe kiwango chako cha juu cha elimu ni kipi? Nataka kujua ili niweze kuamua kuendelea kajadili hii kitu na wewe au la.
 
Mmmh hii nchi si ya mchezo mchezo, natamani nihame nikaishi zangu ht Dubai huko.. Siyo kwa mapicha picha haya. Kila siku kutaka kuandikwa kwenye magazeti
 
shirika likishashikwa na mtanzania knachofuata niiiiiiii....
 
Samahani nimepotea njia kidogo ...Hivi nchi hii ina rais na serikali halali? Nauliza tu
 
WHO: Hakuna ugonjwa wa Zika Tanzania

Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema hakuna taarifa za ugonjwa wa Tanzania na hakujawahi patikana mtoto aliyezaliwa na dalili hizo.

Hayo yamesemwa leo (Jumamosi) na Mwakilishi wa shirika hilo nchini Tanzania, Dk Grace Saguti alipozungumza na waandishi wa habari.



Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema hakuna taarifa za ugonjwa wa Tanzania na hakujawahi patikana mtoto aliyezaliwa na dalili hizo.
mwananchi.co.tz


WHO inapokea taarifa lakini haiwezi kuwa chanzo cha taarifa. Kama taarifa zinafichwa na hazitakiwi kujuilikana. Ukizingatia na sheria ya sasa kwamba hutakiwi kupublish chochotoe hadi kiidhinihshwe na watumbuaji, unategemea WHO watapata wapi taarifa tofauti?

Ms. Saguti hajakosea. WHO hawana taarifa kwa sababu hawatakiwi wajue hivyo na hivyo taarifa hawapewi. Naomba msije mkapotosha ujumbe wa huyu mama. Amesema hakuan taarifa jambo ambalo ni sawa kabisa katika mazingira ambayo taarifa hazitakiw kutolewa.

HAJASEMA KWAMBA HAKUNA UGONJWA WA ZIKA, ALICHOSEMA HAWANA TAARIFA ZA UGONJWA HUO! Na lazima katika duniaya hivi taarifa lazima wasiwe nazo kwa kuwa hawatakiwi kuwa nazo! PERIOD!
 
Back
Top Bottom