Recent content by Ka2pain

 1. Ka2pain

  Utaratibu wa kuandika barua ya posa

  Na hii barua unaiandika kwa mkono au inaichapa.,, na mfumo mzuri ni kama barua za kiofisi ama
 2. Ka2pain

  Utaratibu wa kuandika barua ya posa

  Thanks for this and be blessed
 3. Ka2pain

  Ukweli mchungu, Wafanyakazi msife moyo, Plan B ni muhimu sana

  Sasa tunafanya nini kujikwamua maana hata hiki tunachopewa hakitutimizii baadhi ya mahitaji yetu., mtazamo wangu ni kujiongeza kama alivyosema mtoa mada
 4. Ka2pain

  Paji la uso na siri ya jicho la tatu

  Nimeipitia yote Na kujifunza kitu kikubwa Na kimenibadili mtazamo wangu kwa namna moja ama nyingine., Mungu azidikukutia nguvu katika kuendelea kutujuza mwalimu., Hii elimu dunia tunaipatia huku wengine. Shukrani nyingi kwako Mshana Jr. na wengine wote mliochangia [emoji1545]
 5. Ka2pain

  Paji la uso na siri ya jicho la tatu

  Nimekuelewa sana mkuu..
 6. Ka2pain

  Usifufue makaburi ya mwenza wako endapo unajua kuwa huna moyo

  Ila kuna wengine wanajihami., wanayafukua wenyewe. Hapa unakuta ndo mmeanza mahusiano yeye anafunguka Dah mpaka unaanza mwogopa tena., kuna haja ya kufikiri Mara 2 kabla ya kucheki na yalilopita
 7. Ka2pain

  Usifufue makaburi ya mwenza wako endapo unajua kuwa huna moyo

  Nimecheka sana., nakumbuka girlfriend angu yani kila tukikutana cha kwanza kikagua simu yangu., umkatalie ilo timbwili lake.,
 8. Ka2pain

  Usifufue makaburi ya mwenza wako endapo unajua kuwa huna moyo

  Sasa hapo ulimvumilia au ndo ushamtosa tena
 9. Ka2pain

  Mwanaume mashine

  Hapo kusaidiwa lazima., Kitu mashine
 10. Ka2pain

  Faida za vitunguu saumu kwa wanaume na jinsi ya kutumia

  Mtatuua wabongo., fanya utafute sehemu nyingine ya kuuzia huo mzigo wako wa vitunguu [emoji23][emoji23][emoji23]
 11. Ka2pain

  Utafiti: Mapenzi ya kweli utayapata kama mwanamke akipenda mwenyewe lakini sio mwanaume

  Hii kweli changamoto sana., upendapo full kuchunwa Ila upendwapo dah., wanasema cha msingi upendo
 12. Ka2pain

  blackberry bold 9900

  kwa mtu ambaye anailewa hiyo simu,. ni'pm simu ipo katika hali nzuri,., haijamaliza mwaka na bettery badi inakaa mda mrefu.
Top Bottom