Usifufue makaburi ya mwenza wako endapo unajua kuwa huna moyo

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
53,289
2,000
kwaiyo niko mm tu na relato? Au kama kawaida wadada wa kuflirt kwenye cm yako wako wengi si utaniua na presha kam tabia zako ndo hzhiz
Uko wewe tu. Relato ni binamu bwana.
Mimi si nilishaacha ku flirt? Tena nikakuahidi. Au ukishawahi kuniona tena?
 
Joseverest

Verified Member
Sep 25, 2013
44,205
2,000
Hahahaa umekuja na sururu kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
ndio mkuu
68eb393293aa18f9e11c74ed74528745.jpg

Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
 
Senee

JF-Expert Member
Nov 16, 2015
954
1,000
Nilikuwa na mtu huyo alikuwa anapenda kuuliza sana hizo ishu

Anaweza tilia; so Juma yule siku ya kwanza mlifanya nae ilikuwa wap, mlifanya style gan, una namba yake tumpigie. . Ukisema sina huo ugomvi wake, anakwambia mi nakumbuka namba za magirlfriend zangu wote, yani muda wowote anakuuliza tena na tena dah inatesa kwa kweli
 
ndandambuli

JF-Expert Member
Jul 2, 2017
790
500
Habari wana bodi,natumai jpili imeanza vyema kwetu.

Kumekuwa na kijitabia cha baadhi yetu kuwauliza wapenzi wetu kuhusu mahusiano yao yaliopita,kuhusu ilikuwaje mpaka wakaachana,nk...

Hata me nimfuasi wa hii tabia,kuna siku nilimuuliza dem wangu sababu za kuachana na boy wake,akanijibu kuwa jamaa alimdanganya kuwa hajaoa kumbe alikuwa na mke.

Dem alipokuja kugundua kuwa jamaa anamke aliumia sana,mbaya zaid alikuwa tayari anaujauzito wa jamaa.

Akawa hana budi kuutoa,basi ktk mihangaiko ya kuutoa alipitia changamoto coz alijaribu kuutoa lakin ukagoma ilibidi aelekezwe kwa Dr flan,Dr alipomuona anashida akamtongoza.

Kwa mujibu wa dem anadai alimkubalia lkn hakumpa tendo(Uongo),Yaan Dr akuvue kila kitu halafu akuwekee vidonge papuchini bila kukugonga!!Uongo.

Nilivyomsoma yule dem niligundua kuwa Dr.Alipiga mzigo ndo akapachika vidonge papuchini.

Nilijuta kwanini nimefufua makaburi baada ya kujua dem Alifanya Abortion na kuliwa mzigo.

Ni bora kujifunza pambo la kukaa kimya kuliko pambo lakujifanya mtafiti wa masuala yasiokuhusu.

Wasalam.
100%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
LadyRed

JF-Expert Member
Mar 19, 2016
9,652
2,000
Chuki baina ya wapenzi huanzia hapa siku zote...hakuna mtu anaweza vumilia historia mbaya ya mwenza wake hata kidogo na ndio maana hata wazazi ukiwapelekea mkwe kumtambulisha na kuwaeleza ndiye unataka kumuoa swali kubwa na la kwanza kabisa huwa "umeshamsoma tabia yake vizuri na umeridhika nae?"
Binafsi sijawahi ridhika na historia za wapenzi wangu wooote niliowahi kuwa nao hata huyu mke wangu sijawahi ridhika na historia yake na kuna baadhi ya vitu aliwahi nihadithia nikivikumbuka tu huwa natamani kumtimua kabisa.
Hahahhaha kweli hatuna budi kukubali mapenzi kiti cha basi, ni heri mtu usisimulie kbs
 
Azarel

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
19,579
2,000
Inategemea na aina ya kaburi...kama ni la zege au udongo tu.

Kuna aina ya historia ya mtu kujua ni muhimu sana

MFANO: Kwasisi Wakristo tunahimizwa kujua kama binti unayetaka kumuoa ana chain ya madhabahu yasiyo sahihi au lah.

Au kama kwao kuna ushirikina, matambiko yasiyofaa na hayupo tayari kuyaacha hayo.

Ila kwa tabia za kawaida...mfano alikuwa na tabia ya uchoyo au mpenda maneno hilo unaweza kulivumilia na ukamshape baada ya kumuoa kwani ni weakness ndogo tu.
 
Azarel

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
19,579
2,000
Nilikuwa na mtu huyo alikuwa anapenda kuuliza sana hizo ishu

Anaweza tilia; so Juma yule siku ya kwanza mlifanya nae ilikuwa wap, mlifanya style gan, una namba yake tumpigie. . Ukisema sina huo ugomvi wake, anakwambia mi nakumbuka namba za magirlfriend zangu wote, yani muda wowote anakuuliza tena na tena dah inatesa kwa kweli
Huyo ni Mvulana.
 
BOMBAY

JF-Expert Member
Apr 16, 2014
4,563
2,000
Wewe hujielewi ila mwanamke wako hajielewi zaidi, unawezaje kusema wazi ulitoa mimba???!.
Yani we ndo hujielewi totally,yaan huoni hatari kutoa mimba halafu unaona hatari kusema kuwa umetoa mimba.Idiot
 
kilama

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
2,424
2,000
Chuki baina ya wapenzi huanzia hapa siku zote...hakuna mtu anaweza vumilia historia mbaya ya mwenza wake hata kidogo na ndio maana hata wazazi ukiwapelekea mkwe kumtambulisha na kuwaeleza ndiye unataka kumuoa swali kubwa na la kwanza kabisa huwa "umeshamsoma tabia yake vizuri na umeridhika nae?"
Binafsi sijawahi ridhika na historia za wapenzi wangu wooote niliowahi kuwa nao hata huyu mke wangu sijawahi ridhika na historia yake na kuna baadhi ya vitu aliwahi nihadithia nikivikumbuka tu huwa natamani kumtimua kabisa.
Big point kiongozi..!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ka2pain

Member
Apr 19, 2011
96
95
Habari wana bodi, natumai Jumapili imeanza vyema kwetu,

Kumekuwa na kijitabia cha baadhi yetu kuwauliza wapenzi wetu kuhusu mahusiano yao yaliyopita, kuhusu ilikuwaje mpaka wakaachana, nk.

Hata mimi ni mfuasi wa hii tabia, kuna siku nilimuuliza msichana wangu sababu za kuachana na boy wake, akanijibu kuwa jamaa alimdanganya kuwa hajaoa kumbe alikuwa na mke.

Msichana alipokuja kugundua kuwa jamaa anamke aliumia sana, mbaya zaidi alikuwa tayari anaujauzito wa jamaa.

Akawa hana budi kuutoa, basi katika mihangaiko ya kuutoa alipitia changamoto coz alijaribu kuutoa lakini ukagoma ilibidi aelekezwe kwa Dr flan, Dr alipomuona anashida akamtongoza.

Kwa mujibu wa msichana anadai alimkubalia lakini hakumpa tendo (uongo), yaani Dr. akuvue kila kitu halafu akuwekee vidonge papuchini bila kukugonga! Uongo. Nilivyomsoma yule msichana niligundua kuwa Dr. Alipiga mzigo ndo akapachika vidonge papuchini.

Nilijuta kwanini nimefufua makaburi baada ya kujua msichana alifanya abortion na kuliwa mzigo. Ni bora kujifunza pambo la kukaa kimya kuliko pambo lakujifanya mtafiti wa masuala yasiokuhusu.

Wasalam.

Sasa hapo ulimvumilia au ndo ushamtosa tena
 
Hornet

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
22,843
2,000
Ni kweli ila tambua nimuhimu sana kumsoma mtu kiundani kabla hujafikia maamuzi ya kuishi pamoja na moja ya vitu vitakavyo kufanya ubaini tabia za mtu wako ni pamoja na historia yake.kunatabia zingine hazibadilishiki.Mfn.. mruka na mrukwa ukuta.

Hivyo suala la kusahau halina mashiko.
Ni wewe tu na mawazo yako
Binafsi sijawahi kuhoji habari za zamani,na yeye hajawahi kunihoji za kwangu pia
Ila tunaishi bila tabu.kwa sababu tulianzia tulipokutania.

love thé love or hâte thé love.....
 
Ka2pain

Member
Apr 19, 2011
96
95
Nilikuwa na mtu huyo alikuwa anapenda kuuliza sana hizo ishu

Anaweza tilia; so Juma yule siku ya kwanza mlifanya nae ilikuwa wap, mlifanya style gan, una namba yake tumpigie. . Ukisema sina huo ugomvi wake, anakwambia mi nakumbuka namba za magirlfriend zangu wote, yani muda wowote anakuuliza tena na tena dah inatesa kwa kweli

Nimecheka sana., nakumbuka girlfriend angu yani kila tukikutana cha kwanza kikagua simu yangu., umkatalie ilo timbwili lake.,
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom