Usifufue makaburi ya mwenza wako endapo unajua kuwa huna moyo

Ka2pain

Member
Apr 19, 2011
96
95
Ila kuna wengine wanajihami., wanayafukua wenyewe. Hapa unakuta ndo mmeanza mahusiano yeye anafunguka Dah mpaka unaanza mwogopa tena., kuna haja ya kufikiri Mara 2 kabla ya kucheki na yalilopita
 

Tmuller

JF-Expert Member
Oct 16, 2016
1,944
2,000
Chuki baina ya wapenzi huanzia hapa siku zote...hakuna mtu anaweza vumilia historia mbaya ya mwenza wake hata kidogo na ndio maana hata wazazi ukiwapelekea mkwe kumtambulisha na kuwaeleza ndiye unataka kumuoa swali kubwa na la kwanza kabisa huwa "umeshamsoma tabia yake vizuri na umeridhika nae?"
Binafsi sijawahi ridhika na historia za wapenzi wangu wooote niliowahi kuwa nao hata huyu mke wangu sijawahi ridhika na historia yake na kuna baadhi ya vitu aliwahi nihadithia nikivikumbuka tu huwa natamani kumtimua kabisa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Al assad

JF-Expert Member
Aug 14, 2017
1,094
2,000
Kufukua makaburi ni muhimu kujua background yake,experiences zake nk.hii itakusaidia ku-perceive weaknes na strengths zake(kujua ni mtu wa aina gani) .kama kuna mahala pakurekebisha unamrekebisha na pia kujua namna ya kuishi nae na kumfanya awe-comfortable katika mahusiano yenu.
 

BOMBAY

JF-Expert Member
Apr 16, 2014
4,563
2,000
Kufukua makaburi ni muhimu kujua background yake,experiences zake nk.hii itakusaidia ku-perceive weaknes na strengths zake(kujua ni mtu wa aina gani) .kama kuna mahala pakurekebisha unamrekebisha na pia kujua namna ya kuishi nae na kumfanya awe-comfortable katika mahusiano yenu.
Upo kama Mimi mkuu
 

Rutorial k

JF-Expert Member
Jun 8, 2014
934
1,000
Hata Kama hufukui makaburi kuna story mkipiga inayfukua tu...kwamfano Dem anakwambia du unanguvu za kiume...wengine kamoja tu chali!! Eti hii gesti sijawahi kuingia!! Asee hapo utatamani uchomoke ndki ukizingatia umepiga kavu kavu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom