Mwanaume mashine

Mwanaume mashine

Kuna watu wana sura kama hiyo alafu wanakaaza balaa, usikariri.
Alafu hiyo picture hao hapo ni kama wanajiandaa kusepa hivi, wameshamaliza haja zao. Ukiingia na uyo mtoto room alafu una nyege huwezi relax kama huyo jamaa, yupo kama anaangalia tv.
but first impression last conclusion

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah,isiwe tabu,ngoja nimpigie salma akitoka job apitie maghetoni.maana ana mnyumbuliko unaofanana na huyo binti pichani.
 
Uanaume ni kumpigisha manzi afike hata mara kumi angalau huku wewe ukimtafutia la kwanza huo ndio uanaume, na kama ni night till sono basi total score iwe wapinzani 21-wenyeji 3 hapo lazma umtafutie usafiri mgeni....kusimama wima ndio uanaume
 
View attachment 560050nimeangalia hii picha nikacheka kweli kwakuwa yaliyoandikwa juu yake hayafanani kabisa na body language ya wahusika hasa dogo ambaye sura yake inaonekana vizuri... nimejikuta naukumbuka wimbo wa mwanaume mashine
Usafi na utanashati ni sifa muhimu kwa mwanaume, na wanawake wengi huvutiwa na mwanaume wa jinsi hiyo, si lazima kuvaa nguo za gharama LA haha bali nguo za kawaida kabisa lakini ziwe safi na kwenye mpangilio sahihi.... Bila kusahau sekta muhimu sana ulaji tunda.... Mwanaume kamili huwa na kisu kikali kinachojua kukata vema
Shida ya vijana wa kileo ni kwamba wanadhani mvuto utanashati na usafi ni kufanya scrubbing, kusuka nywele, kuvaa hereni, kutinda nyusi, kupaka poda, kujipulizia manukato ya kike, kubana sauti, kuongea singeli na ngeli za kiingereza, kuvaa nguo za kubana, kumiliki smart phones na gari, kula chips mayai na kuku na pizza, huku wakiacha kabisa kula ugali.... Hawa automatically visu vyao hugeuka butu kwakuwa badala ya kunoa makali wao hukazana kurembesha mpini na wanapofika buchani holaaa
Mwisho wa siku wakichapiwa wanaishia kulialia... Kwa jinsi hali ilivyo mbaya hakuna jinsi zaidi ya kuandaa madarasa ya kuwafunda wadogo zetu wa kiume
d696c6ee9baf8713e59fff8c46b7656b.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
Haya Jr
Mwanaume mashine
 
Back
Top Bottom