Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 54,869
- 53,858
Huu uzi udumu
Waombe wakutumie piemu mana wakituma hapa tutajikuta tushaenda alaf mwsho tuchukue hatua mkononNaombeni link ya telegram ya mambo yetu
HahahahWaombe wakutumie piemu mana wakituma hapa tutajikuta tushaenda alaf mwsho tuchukue hatua mkonon
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Mpe Tena jaman daaNikiwa form two nilienda gheto kwa boyfriend wangu,sikumkuta nikamkuta rafiki yake.Mvua kubwa ikaanza sijui hata ilivyokuwa nilijikuta nshatiwa.Hatukuonana tena hadi mwaka jana bada ya miaka 24,kaja chuo ni mwanafuzi wangu.
Nainjoi tu vituko vya humu mnoo[emoji2][emoji1][emoji1]Hahaha, unapita huku my mdogo?
Hii mada inahusu kula tunda kimasihala je wewe ulikula? Vidole sio kula nyooka fuata maelekezo ya madahe he he .....juzi kati katika ule mgomo wa malori nilikaa na kadada kamoja nikitokea moshi.ilipoingia giza nikajikuta nakachezea chezea mpaka kupima oil lakini kapo kimya tu.tulipofika ubungo mida ya saa tisa usiku nilitamani nikapeleke gesti but nikauchuna kila mtu akaenda kivyake.sikumgegeda but nilishangazwa sana coz kalikuwa kanakuja record kwaya na wenzake
Nakukaribisha inbox kwangu kama itakupendeza uje madam.Nipo hapa.
Viungo havipati hamasa?[emoji23][emoji23]Nainjoi tu vituko vya humu mnoo[emoji2][emoji1][emoji1]
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Hapo umetisha sana mwaisaMiaka ile mzee Pinda akiwa PM wa hii Jamhuri yetu njema.
Nikiwa na kibarua changu katika Taasisi moja ya serikali, nikapata safari ya kikazi huko makao makuu ya hii nchi.
Nikiwa huko na baada ya kutoa taarifa kuwa nipo capital city nikapata mwaliko kutoka familia ya dada mmoja ambaye tulikuwa majirani wakati tunakua katika kitongoji kimoja hapa jijini. Tukakubaliana kuwa nitamtembelea jumamosi.
Basi jumamosi ilipofika, nikaanza safari kwenda kwa huyu dada kama alivyonikaribisha.
Nilifika na mapokezi yalikuwa mazuri sana, alikuwa yeye na mdogo wake (huyu wakati wanahama alikuwa bado yupo sekondari ila wakati huu alikuwa anasoma chuo kwa level ya bachelor degree).
Tukiwa tunakula huku tukiongea habari mbalimbali za maakuzi yetu, dada mkubwa akakumbushia mahusiano yangu ya zamani na binti mmoja, huku akimalizia kwa kusema "unajua S ameolewa lakini kila nikikutana naye lazima akukumbuke". Wote tukacheka, huku dada mkubwa akiinuka maana alikuwa ameshamaliza kula, mezani tukabaki mimi na huyu mwanachuo.
Dada mwanachuo akaniuliza "kwani huyo S ulimpa nini mpaka anashindwa kukusahau?"
Nikajibu tu kuwa '' na wewe unataka nikupe?! Binti akacheka sana kwa hilo jibu.
Ugeni ukaisha nami nikarudi lodge nilipofikia karibu kabisa na stendi ya mabasi ya Shabiby.
Jumapili majira ya saa sita napokea simu, namba ngeni. Kupokea, kumbe ni yule binti wa chuo... Cha kwanza ni shikamoo... Pili anauliza swali lile lile la jana "ulimpa nini S mpaka ameshindwa kukusahau? ''...... Nikajikuta najibu tu, njoo nikupe na wewe.. Akacheka kisha akanitakia Jumapili njema na kukata simu.
Baada ya kama Dakika 20 hivi akatuma sms ''kwani umefikia maeneo gani?" nikamjibu eneo na jina la lodge.
Baada yaa muda akafika, mimi nikiwa nipo room, nikamwelekeza namba ya chumba.
Binti akaingia bila wasiwasi huku akichekacheka naa kusema" dada asijue".
Lilikuwa zoezi rahisi sana baada ya kunywa na kula, kilichofuata ni kumpa alichokifuata.
Huu ukawa mwanzo wa safari ndefu ya kulea mtoto na hatimaye ndoa.
Masihara ikawa serious...
Utaishi milele?
Mapenzi ni uchafu mdogo angu... watu tunakula mavi deileeee kwenye kufanya rimming
Kwani dunia ni yetu basi?
Dunia ya shetani wapi na nyie kwani yeye ndie alie iumba mbona mnatuchanganyaYa shetani lipo wazi kabisa. Mi sishangai watu kupata ajar na kufa kabla ya Siku zao ni mwenye dunia anachinja tu. Lakini walio wa Mungu wataishi milele. Na wewe ndugu yangu Neema ya Yesu ikufunike upate kuona Nuru na wala si Giza. Uone heri wala si shari. Uone utukufu wa Mungu wala si wa shetani ndani ya fahamu zako. Yesu akuteteeni nyote humu
Da mkuu uzinzi ni uchafu mwanzo mwisho na hayo yote raha yake haizidi sekunde 3.Sema ukiwa kwenye ndoa uchafu huo una Baraka zake ila huko kwingine ni machukizo mbele za Mungu .ndo maana unashambuliwa kwa kuyasema haya kwenye Uzi huu wa kusifia zinaa
Dunia ya shetani wapi na nyie kwani yeye ndie alie iumba mbona mnatuchanganya
Naishi na sintokufa. Sbb Nipo hai sasa na Mungu amekwisha nipa uzima wa milele. Roho haifi kamwe unakufa mwili. Hapa duniani tayari wewe ni Mfu unaetembea. Roho yako haioni dhambi mauti ya kwanza, suburi mauti ya pili shetani atakapo amua kujichinjia wewe kuku wake maana unapenda matendo yake. Lakini Yupo Yesu aliye hai na akutetee hilo Giza litoweke ndani yako twende wote mbinguni.
Nooo mzee zile siku sikuomba Bia kila kitu kwa Bill yangu kasor Demkumbe wewe ndio yule dogo ulikuwa unanigongea bia... na demu wangu umenigongea kumnyoko
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji1787]Pole saaana mzeee duh