Nimetengeneza 15,632,000/= kwenye betting ndani ya miezi minne

Exorcist

JF-Expert Member
Feb 28, 2014
845
1,000
Ngoja niangalie link aliyoweka kisha kwenye bookies wetu

Nina mashaka na ufahamu wako katika maswala ya uchumi,
Hata bila betting kuwepo still watu wanaoishi bila kuzalisha walikuwepo na wataendelea kuwepo. Hakuna nchi isiyo na watu wa aina hii hata nchi zisizoruhusu betting. Si kila mtu katika kila nchi ni mzalishaji.

Lakini uwepo wa watu hawa haimaanishi basi hakuna sekta ingine hazipo, wazalishaji wapo na wasiozalisha pia wapo.
Sasa hao wasiozalisha hao ndio inabidi tupambane nao kuwakomesha na kuwatokomeza, asiyezalisha na asile.
 
Ka2pain

Member
Apr 19, 2011
96
95
IMG_2525.JPG

Wengine neema.,
 
Countrywide

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
8,107
2,000
nipe mbinu mkuu, ulifanya aje hadi faida ikaongezeka. wenzako tunaliwa hadi kwa odd ya 1.03
Bet haitaki tamaa! Mm ni mmoja wa waliofanikiwa mkekabet
Nilichofanya nilianza na mtaji wa laki 2, nikawa naweza odds za 1.3 au 1.4 au 1.5 maximum, so per match(bet) nilikuwa napata around 60000 hadi 70000 na kwa wiki nilikuwa nacheza mara 5 tu
Baada ya kufikisha mil.3 nikapandisha dau na kutupia mil.1 na faida ikawa laki 4 hadi 5 kwa mechi.
Leo hii nazungumzia mil.18 ambayo jumla nimewithdraw
 
Countrywide

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
8,107
2,000
Mimi nilienda nikafika 1.7M kwa mtaji wa laki...nikaingia tamaa yaliyonikuta siri yangu
Hiyo 1.7 mil ungetuliza akili ungefika 10mil fasta! Mi nilianza na laki 2, sasa iv nazungumzia mil.18 mkekabet hadi wamenichoka
Jana ya ajax yenyewe tu walimpa more than 3 odds nikawawekea laki 4, ikaja more than a million
Bet inalipa sana
Hyo 1.7mil ungetafuta odds za kimaskini zile za 1.2, 1.3, 1.4 ungekuwa na uhakika wa kupata laki 2 hadi laki 4 kila baada ya mechi
 
Hazard CFC

JF-Expert Member
Apr 7, 2015
16,103

Ndio zangu mkuu..niliingia tamaa nikaipoteza yote..wakati ulitakiwa niende nayo taratibu tu
 
Countrywide

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
8,107
2,000
Hivi haka kauzi kanahusiana na wazee wa forex..maana hata yule mzee was forex alikujaga hivi hivi na stori za mashamba baadae utasikia natoa kozi...all in all uchumi unaoendeshwa na betting ni uchumi mfu .....BET for fun ila fanya kazi za kuingizia taifa...unawapotosha watoto
Forex ulikuwa ni ujinga wa hali ya juu! Bet mpira unachezwa unauona, yaan mfano leo liverpool anacheza vs barcelona, na liverpool kapewa odds ya 4, so ukiweka mfano mil.1 unapata mil.4
Na kweli unakuwa unaona kabisa liverpool kamfunga barca
 
issac77

JF-Expert Member
Apr 26, 2013
2,530
2,000
Bet haitaki tamaa! Mm ni mmoja wa waliofanikiwa mkekabet
Nilichofanya nilianza na mtaji wa laki 2, nikawa naweza odds za 1.3 au 1.4 au 1.5 maximum, so per match(bet) nilikuwa napata around 60000 hadi 70000 na kwa wiki nilikuwa nacheza mara 5 tu
Baada ya kufikisha mil.3 nikapandisha dau na kutupia mil.1 na faida ikawa laki 4 hadi 5 kwa mechi.
Leo hii nazungumzia mil.18 ambayo jumla nimewithdraw
hongera!swali je, hizo odd 1.3 unazitafuta ktk mfumo gani ambao unakufanya ubet mara nyingi bila kupoteza.
 
tpaul

JF-Expert Member
Feb 3, 2008
16,624
2,000
you repeat..??wew ni nani.?? ukisema wew kitu ndo kinakua hakiwezekanii.!??oooh my balls ..you are the cause of trump' trash words to africa homie..with yo narrow mind dude....unamjua bill walters wew..wilson perumal....dan tan or uncle raj...unajua kwanin dk leakey aliajiriwa premier bet..!!? kama hujui kaa kimyaaaa...acha watu na kaz zao...eti fibbonach..ujinga wa forex usiulete hapa

Mkuu kwani Dr Leakey aliajiriwa premierbet? Nadhani ni kwa sababu anafahamu sana mpira na wachezaji, karibu dunia nzima.
 
The indigenous

JF-Expert Member
May 14, 2018
313
250
Hakuna biashara inayolipa kama betting muhimu ni kuacha tamaa na ujiwekee kanuni muhimu za uchezaji

Kwa mfano mimi kila mkeka sitaki uzidi 1.80 odds

Na hata mechi iwe na uhakika kiasi gani simpi direct win yoyote nacheza dc

Na odds ya ushindi ni under 2.5 HT inatoa sana hiyo

Muhimu ukishaina unakula usitake kujaribu odds nyingi utapigwaAnza na laki moja ukiweka odds 1.80 unapata 150 faida ni 50 nakuhakikishia katika mwezi utakosa mara 4 au 5 tu

kweli,odd zikiwa nying uwezekano wakupigwa nimkubwa,zaid natumia"double chance" naujanja flani, aah mara change kukosa
 
KeyserSoze

JF-Expert Member
Feb 26, 2014
4,919
2,000
Hiyo 1.7 mil ungetuliza akili ungefika 10mil fasta! Mi nilianza na laki 2, sasa iv nazungumzia mil.18 mkekabet hadi wamenichoka
Jana ya ajax yenyewe tu walimpa more than 3 odds nikawawekea laki 4, ikaja more than a million
Bet inalipa sana
Hyo 1.7mil ungetafuta odds za kimaskini zile za 1.2, 1.3, 1.4 ungekuwa na uhakika wa kupata laki 2 hadi laki 4 kila baada ya mechi
Okay tuseme unachukua hizo odds za 1.2 na wager yako ni laki moja kila game lets assume hakuna kodi in winnings kwahio kila game faida ni elfu ishirini..

Ukishinda game 5 una laki moja faida kwa bahati mbaya ya sita ukishindwa you are back to square one faida yote imepeperuka..., odds ndogo does not necessarily mean value
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom