Recent content by juwaji peter

  1. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku-highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JamiiForums

    mh
  2. J

    JamiiForums Tanzania Tahliso watoa tamko kuhusu dodoso

    Mbona hakuna mhuri,
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Karibu tujadili masuala yote kuhusu Mikopo ya Elimu ya Juu

    Naomba kuuliza dawati hili kwa wadau wa elimu na wanufaika wa bodi ya mkopo, kuna habari zinasambaa na kunikuta jioni hii kwamba, kwa yeyote ambayo alikuwa na sup au carry hadi mda huu hana sifa ya kupata mkopo, kwa maelezo yao ni kwamba SOURCE NI MKURUGENZI BODI YA MIKOPO NA IMETOLEWA LEO...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii watasoma watoto wa matajiri tu chuo kikuu na wachache wa wakulima

    Hiv ni kweli mkopo unasitishwa kwa wote wenye sup na carry hata kama ya somo moja?
  5. J

    JamiiForums Tanzania TAHLISO: Continuing students hawataathirika na vigezo vipya vya utoaji mikopo elimu ya juu

    Huyo jamaa jana alihojiwa EA RADIO akathibitisha maelezo yake, na mm ninayo hyo record ya mazungumzo yake
  6. J

    JamiiForums Tanzania TRL, ratiba ya usafiri wa Treni mmebadilisha?

    Mabadiliko ya ratiba usafiri wa treni imekuwaje kwa mwenye kujua na ambaye ameipata ratiba naomba anijulishe kutoka Makambako to Dar . Wamebadilisha au vipi na kama wamebadilisha ni lini na saa ngapi?
  7. J

    JamiiForums Tanzania HESLB wametoa majina ya mkopo mwaka 2015/16

    Inaonesha mkopo ni kama chachu kwa wanavyuo maana hali ishakuwa tete na watu hawana ujanja tena zaidi ya kuwa wapole maana ushaitwa mkopo lakin watu wanautaka kwa namna yeyote Tumbe Mungu atie wepesi
  8. J

    JamiiForums Tanzania HESLB wametoa majina ya mkopo mwaka 2015/16

    kazi nzuri mdau tunasubiri pia second LOT,kama kuna mabadiliko yeyote na ongezeko la watakao faidika na huo mkopo
  9. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mimi nawatamani Wanafunzi, Nifanyeje ili niache?

    kwani nimekosea mkuuu
  10. J

    JamiiForums Tanzania Shukrani kwa HESLB

    Tutakufa Kwan uongo
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kigoma mmeshangaza Sana

    wakongomani,watanzania wa sasa wanajielewa mkubwa
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Umechemka kwa wazir mkuu
  13. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mimi nawatamani Wanafunzi, Nifanyeje ili niache?

    Mshonee mkeo sare za shule hasa sare za sekondari ili kupunguza matamanio ya wanafunzi
Back
Top Bottom