HESLB wametoa majina ya mkopo mwaka 2015/16

HESLB wametoa majina ya mkopo mwaka 2015/16

HAWA WANA IT WA HESLB WAKOJE KWENYEE HII SYSTEM WALOWEKA, YAAN ATA UKIBUNI NAMBA UTAAMBIWA "
did not secure a higher education loan for 2015/16 academic year in the FIRST LOT of allocations" ​
SASA SUJUI NIN TATIZO, NMETUNGA NAMBA INAMWAKA 2016 PIA WAMENAMBIA IVO.
angalieni wenyenu.
attachment.php
 

Attachments

  • heslb it.PNG
    heslb it.PNG
    15.1 KB · Views: 1,151
HAWA WANA IT WA HESLB WAKOJE KWENYEE HII SYSTEM WALOWEKA, YAAN ATA UKIBUNI NAMBA UTAAMBIWA "
did not secure a higher education loan for 2015/16 academic year in the FIRST LOT of allocations" ​
SASA SUJUI NIN TATIZO, NMETUNGA NAMBA INAMWAKA 2016 PIA WAMENAMBIA IVO.
angalieni wenyenu.
attachment.php

Hahaha noma aiseee, hawa jamaa wanacheza na maisha yetu, hawana huruma yan duh
 
Plz kama umekosa mkopo contact me early.. uwe umemalza form iv kuanzia 2012 na kuendelea...0658250948
 
Second lot mbona imechelewa hiv kwer vyuo watakubal kupokea wanafunzi wakati registration imekwisha??
 
Inaonesha mkopo ni kama chachu kwa wanavyuo maana hali ishakuwa tete na watu hawana ujanja tena zaidi ya kuwa wapole maana ushaitwa mkopo lakin watu wanautaka kwa namna yeyote
Tumbe Mungu atie wepesi
 
Wote Mnapata Mkopo.Serikali Yetu Ni Sikivu Sana
 
mwaka uu... tunaweza tusiende vyuo kusoma, tuka hairisha wote tulio kosa mkopo.... maana hakuna namnaa nyingne
 
Mbona Special Program Weng Hawajapata Mkopo Au Ndo Iyo 2nd Lot Wametengewa
 
Back
Top Bottom