Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

Ni bahati mbaya tuu kuwa Abdala Bulembo hata udiwani alianguka lakini angempa Uwaziri Mkuu, halafu yupo yule Lusinde aka Kibajaji naye ampe wizara ya Mambo ya nje maana hao walimsaidia sana Magufuli katika kile kitengo cha Matusi wakati wa kampeni. Wizara ya muungano ampe Kessy wa Nkasi ili anyooshe mambo na Afya Pro.Maji Marefu ili tupate suluhisha la kwenda India kwa matibabu. Mawasiliano na uchukuzi apewe Msukuma wa Geita anayemiliki Helikopta, pamoja na kuwa ameishia darasa la sita lakini anauzoefu wa vyombo vya anga ataisaidia sana ATCL kuweza kumiliki ndege zake.
Kwa orodha hiyo fupi hawa wapinzani uchwara wataisoma namba kwa maendeleo ya kasi yatakavyo kuja.

Kinyume chake labda maana hao wote hawafai
 
Kwa ushindi wa 58% versus 40%, ni vema Magufuli akajumuisha waziri/naibu walau mmoja kutoka upinzani.
 
1: Waziri mkuu, Lukuvi
2: Fedha Mwigulu
3: Elimu,sospeter mhongo
4: Tamisemi, Angel Mabula
5: Vijana, michezo, cha habari Nape
6: Mambo ya ndani Husein Mwinyi
7: Viwanda biashara, Makamba
8: Ujenzi, Mwakyembe
9:Jinsia,watoto,wanawake,Janet Mbene
10: Mambo ya nje=?
11: Sheria/katiba=?
12: Afya=?
13: Ulinzi=?

Tutaendelea badae

kwenye red umebugi men....hayo magarasa
 
Combination ya JPM na Sospeter Muhongo inabidi "Madalali" wasio rasmi na Wapiga deal wengine wajisalimishe.

Angalau sasa rasilimali za Nchi hii zimepata Msimamizi anayeaminika.
 
1: Waziri mkuu, Lukuvi
2: Fedha Mwigulu
3: Elimu,sospeter mhongo
4: Tamisemi, Angel Mabula
5: Vijana, michezo, cha habari Nape
6: Mambo ya ndani Husein Mwinyi
7: Viwanda biashara, Makamba
8: Ujenzi, Mwakyembe
9:Jinsia,watoto,wanawake,Janet Mbene
10: Mambo ya nje=?
11: Sheria/katiba=?
12: Afya=?
13: Ulinzi=?

Tutaendelea badae

nishat na madini atakua Sospeter Mhongo
 
1: Waziri mkuu, Lukuvi
2: Fedha Mwigulu
3: Elimu,sospeter mhongo
4: Tamisemi, Angel Mabula
5: Vijana, michezo, cha habari Nape
6: Mambo ya ndani Husein Mwinyi
7: Viwanda biashara, Makamba
8: Ujenzi, Mwakyembe
9:Jinsia,watoto,wanawake,Janet Mbene
10: Mambo ya nje=?
11: Sheria/katiba=?
12: Afya=?
13: Ulinzi=?

Tutaendelea badae
Ulinzi;jenerali george waitara
 
Mimi pia nafikiri Waziri mkuu anafaa kuwa Harisson Mwakyembe, Mambo ya nje January Makamba na Waziri wa fedha Mwigulu Nchemba, wengine malizia.............
 
1: Waziri mkuu, Lukuvi
2: Fedha Mwigulu
3: Elimu,sospeter mhongo
4: Tamisemi, Angel Mabula
5: Vijana, michezo, cha habari Nape
6: Mambo ya ndani Husein Mwinyi
7: Viwanda biashara, Makamba
8: Ujenzi, Mwakyembe
9:Jinsia,watoto,wanawake,Janet Mbene
10: Mambo ya nje=?
11: Sheria/katiba=?
12: Afya=?
13: Ulinzi=?

Tutaendelea badae

Hapa ni mbwa kala mbwa, ili kumkomesha kabisa Lowassa, uwaziri mkuu apewe Harisson Mwakyembe, kudadadeki! Hii itakuwa inaitwa Nyani kala Mbwa
 
Wamteue Prof. Mhongo kuwa PM ili watu wawe ofisini masaa 8- 10.

Masijala huwa mnajidai mabingwa wa kupoteza barua/mafaili? Mtakoma.
Traffic huwa mnajidai weka sufuria- mboga inakuja - mtakoma.

Halmashauri mnajidai michwa!!- mtakoma.

Walimu mnajidai mnakunywa pombe muda wa kazi- mtakoma.

Machangu doa yatakuwa yanakamatwa afu yanagawiwa bureee
Tehe tehe
 
Bado baraza lako alijakizi viwango,
Angalia LA kwangu,
1,Mwakyembe-wzr mkuu,
2,ulinzi,- huseni mwinyi,
3,nishati - muhongo,
4,Elimu,- mpina
5,ujenzi- tizeba
6,mambo ya nje,- makamba
7,sheria na katiba,
8,Tamisemi,- jenesta mwagama
9,fedha,- msaada mkuya
10,maji- Mama sitta
11,ardhi,- lukuvi
12 Ujenzi na Barabara - Agrrey Mwandri (Mbunge wa kuteuliwa) ameanguka Jimbo la Siha

Wabunge wa kuteuliwa

  1. Ole Sendeka
  2. Samwali Sitta
  3. Anna Mughira
 
Pia nadhani liundwe baraza dogo kama ifuatavyo

1. Afya na ustawi wa jamii
2. Ardhi - Lukuvi
3. Elimu + Science na technology -
4. Fedha - Mwigulu
5. Kazi na ajira/sanaa na michezo/maendeleo ya jamii na jinsia
6. Kilimo/mifugo/viwanda na biashara
7. Maliasili na utalii/Maji/Mazingira - Nyalandu
8. Mambo ya ndani/Sheria na katiba/Muungano - Migiro
9. Mambo ya nje/Afrika mashariki -
10. Ujenzi/uchukuzi - Tizeba
11. Nishati na madini - Prof. Mhongo
12. Ulinzi - Mzanzibar au Mwinyi
13. Serikari za mitaa - Mwakyembe
14. Utumishi -

Umejitahidı ila waziri wa Afrika Mashariki lazima awepo kwa mujıbu wa makubaliano ya EAC.
 
Back
Top Bottom