TRL, ratiba ya usafiri wa Treni mmebadilisha?

juwaji peter

Member
Sep 15, 2015
41
9
Mabadiliko ya ratiba usafiri wa treni imekuwaje kwa mwenye kujua na ambaye ameipata ratiba naomba anijulishe kutoka Makambako to Dar .

Wamebadilisha au vipi na kama wamebadilisha ni lini na saa ngapi?
 
Back
Top Bottom