Hii ikoje?yaani mmeamua kumrudisha bungeni Nswazugwako wa CCM na kuwaacha makamanda wazalendo wapiganaji akina Mkosamali,Kafulila David na Machali.
Hivi hamkuona uchapakazi wao? kweli hamkuona changamoto zao bungeni? kweli penye miti hakuna wajenzi!
R.I.P Mh Deo filikunjombe na pole sana Mh Wenje kwa lililotokea Mwanza.
So right!msiwalaumu watu wa kigoma bure, mabox nadhani mliayaona yakisafirishwa kwenda wilayani. Mtu kama Kafulila asingerudi maana yeye ndo amezalisha Escrow
Hivi huko kuna wtz au wakongomani ?
Hii ikoje?yaani mmeamua kumrudisha bungeni Nswazugwako wa CCM na kuwaacha makamanda wazalendo wapiganaji akina Mkosamali,Kafulila David na Machali.
Hivi hamkuona uchapakazi wao? kweli hamkuona changamoto zao bungeni? kweli penye miti hakuna wajenzi!
R.I.P Mh Deo filikunjombe na pole sana Mh Wenje kwa lililotokea Mwanza.
Kigoma tunajielewa sisi sio mapoyoyo, tuliwatuma watuleteee Maendeleo na sio kupiga kelele ambazo hazina kichwa wala miguuu wala escro. acha wajifunze kwanza c unaona anayeleta Maendeleo anerudi
Hii ikoje?yaani mmeamua kumrudisha bungeni Nswazugwako wa CCM na kuwaacha makamanda wazalendo wapiganaji akina Mkosamali,Kafulila David na Machali.
Hivi hamkuona uchapakazi wao? kweli hamkuona changamoto zao bungeni? kweli penye miti hakuna wajenzi!
R.I.P Mh Deo filikunjombe na pole sana Mh Wenje kwa lililotokea Mwanza.
wachaguliwe kwa hoja gani wakati ukawa hawana hata manifesto ya uchaguzi. wananchi hawajaona kitu kwenye sera ya elimu elimu elimu bodaboda na mama ntilie ya mgombea wa ukawa.Hii ikoje?yaani mmeamua kumrudisha bungeni Nswazugwako wa CCM na kuwaacha makamanda wazalendo wapiganaji akina Mkosamali,Kafulila David na Machali.
Hivi hamkuona uchapakazi wao? kweli hamkuona changamoto zao bungeni? kweli penye miti hakuna wajenzi!
R.I.P Mh Deo filikunjombe na pole sana Mh Wenje kwa lililotokea Mwanza.
wachaguliwe kwa hoja gani wakati ukawa hawana hata manifesto ya uchaguzi. wananchi hawajaona kitu kwenye sera ya elimu elimu elimu bodaboda mama ntilie na kumtoa lupango babu seya ya mgombea wa ukawa.
Umeandika kitu gani hapa ??
Husiwalaumu naona kigoma imeisha geuka dubai kwahiyo wameridhika.Hii ikoje?yaani mmeamua kumrudisha bungeni Nswazugwako wa CCM na kuwaacha makamanda wazalendo wapiganaji akina Mkosamali,Kafulila David na Machali.
Hivi hamkuona uchapakazi wao? kweli hamkuona changamoto zao bungeni? kweli penye miti hakuna wajenzi!
R.I.P Mh Deo filikunjombe na pole sana Mh Wenje kwa lililotokea Mwanza.
kilichomuangusha kafulila ni kitendo cha kutoa lugha za dharau kwa watu wa kigoma kama vile kuwaambia kuwa fani yao ni kulima michikichi na kuanzisha vyama vya mawese lakin si kuanzisha chama, akiwa na maana ya act wazalendo. Lakini pia mwaka huu pesa imetumika mnoo na ilikuwa na nguvu sana kuliko maneno matupu kwa huku kigoma pengine kuliko hata mikoa mingine (sijui kwa nini), ndio maana wameangushwa watu ambao hata hawakutarajiwa huku wakipita wagombea ambao hawana uwezo kiuongozi. Machali aliharibiwa na skendo ya kumpiga baba yake pamoja na kuwatukana baadhi ya watu hasa wanapomfikia na kujaribu kumweleza changamoto wanazokumbana nazo katika harakati za kujitafutia maendeleo mfano bodaboda.