Mimi nawatamani Wanafunzi, Nifanyeje ili niache?

Mimi nawatamani Wanafunzi, Nifanyeje ili niache?

Status
Not open for further replies.

pitbull

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2011
Posts
596
Reaction score
186
Wanajamvi,

Mi naombeni tujadili hili ni tatizo au ni kitu gani manake kwa siku za karibuni nimetokea kuwatamani wanafunzi wa kike sana kiasi kwamba nikiona mwanafunzi ndani ya uniform nachanganyikiwa sana hasa wanafunzi wa sekondari.
 
Hata mwanao, mdogo wako au nduguyo yeyote pia unamtamani? Pepo la UASHERATI tokaaaa kwa jina la Yesu
 
wanajamvi mi naombeni tujadili hili ni tatizo au ni kitu gani manake kwa siku za karibuni nimetokea kuwatamani wanafunzi wa kike sana kiasi kwamba nikiona mwanafunzi ndani ya uniform nachanganyikiwa sana sana wanafunzi wa sekondari

Hapo Jua Barehe inaanza, au Jera inakuita, au Unaanza kujifunzia Kwa vitoto, pepo la ngono
 
Kama sketi za shule zinakuchanganya mshonee mpenzi wako avae usiwaharibie watoto malengo yao
 
Jitahidi sana kutembelea wafungwa na mahabusu vituo vya polisi.

Utashinda kwa kishindo jaribu hili
 
wanajamvi mi naombeni tujadili hili ni tatizo au ni kitu gani manake kwa siku za karibuni nimetokea kuwatamani wanafunzi wa kike sana kiasi kwamba nikiona mwanafunzi ndani ya uniform nachanganyikiwa sana sana wanafunzi wa sekondari

Subiri tu na wanao pia watatamaniwa hivyohivyo
 
Nakuonea sana huruma we jamaa! By the way mim najitolea bure kukuletea uji huko magereza!!
 
wanajamvi mi naombeni tujadili hili ni tatizo au ni kitu gani manake kwa siku za karibuni nimetokea kuwatamani wanafunzi wa kike sana kiasi kwamba nikiona mwanafunzi ndani ya uniform nachanganyikiwa sana sana wanafunzi wa sekondari

Mnunulie mkeo sare za shule!
 
La the Hague halijaisha unataka kuzua lingine? Waambie hudanganyiki na uniform dhao....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom