Recent content by Just_mimi

  1. Just_mimi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke bado anajua mgumu kutoa hii mimba nifanyaje aisee

    Mkuu watoto wanavyotafutwa kwashida pambana kulea tu aisee usije ukajuta huko mbele
  2. Just_mimi

    JamiiForums Tanzania Nataka nikusanye kiasi cha million 25, nitumie mbinu gani?

    Kwanza tengeneza budget yako ujue matumizi yako then uone kiasi gani unaweza kusave japo itakuchukua muda inabidi ujibane haswaaa
  3. Just_mimi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nje ya tetesi za Mheshimiwa kuachana na mke wake baada ya DNA kuonyesha mtoto si wake, ukweli mchungu wanaume wengi tunakuza watoto wasio wetu

    Watu wazushi he never married her ni wazazi wenza na waliachana kwa issue zingine sio mambo ya dna
  4. Just_mimi

    JamiiForums Tanzania Kapteni Ibrahim Traoré, kashaanza kulewa madaraka

    Umenipa madaraka ya kulevya ooh mama 🎶🎶
  5. Just_mimi

    JamiiForums Tanzania Mtaala mpya haujaeleweka? Au tunacheza na maisha ya watoto wetu?

    Hata mimi naona hili ndo linaleta tija mtu form one achague masomo mbona wengi watakuja kujuta huko mbele
  6. Just_mimi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Udalali wa kuunganishia wanaume/wanawake wenza siku hizi umeshamiri sana mjini. Chanzo ni nini?

    Bora waje jf kutafuta aisee unalipa pesa ukutanishwe na mtu ni hatari sana wengi ni matapeli
  7. Just_mimi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli na Hoja isiyojadiliwa:- Financially, Ndoa zinaumiza sanaa wanaume

    Kikubwa tumtangulize Mungu sana tupendane,tuvumiliane sanaa na tuchukuliane madhaifu yetu
  8. Just_mimi

    JamiiForums Tanzania Hekaheka za Xmas na kunusurika kifo

    Pole sana
  9. Just_mimi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Kila la heri mkuu
  10. Just_mimi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke wangu hanitaki

    Pole sana mkuu inaumiza lakini kwasasa focus yako ipeleke kwenye kujitafuta uwe na uchumi mzuri tu mwanamke anaekupenda awezi kukupa majibu mabovu hvyo.
  11. Just_mimi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuliodumu miaka 20+ kwenye ndoa zetu tukutane hapa tupeane na kubadilishana uzoefu

    Hongereni sana
  12. Just_mimi

    JamiiForums Tanzania Je, WAVUVI CAMP hii aibu kwa jamii wanayofanya mchana kweupe wapo juu ya Sheria?

    Hii sio old video kweli ! kuna mwaka hadi walifungiwa wakaja na usiku wa uswahili wakacheza na madela
Back
Top Bottom