Kapteni Ibrahim Traoré, kashaanza kulewa madaraka

Wengi waliambiwa lakini hawakusikia. Rais wenu aliyekuwa ''mfano wa kuigwa wa Afrika'', tayari keshalewa madaraka.

Nukuu: ''Demokrasia inaua na watu wa Burkina Faso lazima wasahau kuhusu hilo” Kapteni Ibrahim Traoré, ameiambia televisheni ya serikali ya nchi hiyo.

Kapteni Ibrahim Traoré, ambaye alichukua mamlaka katika mapinduzi ya kijeshi miaka mitatu iliyopita, alidai kwamba Wafrika wengi hawataki mfumo wa demokrasia na kwamba Burkina Faso ina njia yake mbadala, lakini bila kutoa maelezo zaidi ni njia ya aina gani

Traoré awali aliahidi kurejesha utawala wa kidemokrasia ifikapo Julai 2024, lakini miezi miwili kabla ya tarehe hiyo, alitangaza kuwa junta itaongeza utawala wake kwa miaka mingine mitano.
Lakini kama kuonyesha kuwa mwafrika hajafikia level ya kujiongoza, mnamo Januari, mamlaka ilitangaza marufuku ya vyama vyote vya siasa kama sehemu ya mpango wa “kujenga upya taifa.”

Katika mahojiano aliyfanya Alhamisi usiku, Traoré alisema: “Watu wanahitaji kusahau suala la demokrasia. Demokrasia si kwa ajili yetu. Tazama Libya, hii ni mfano halisi,” alisema huyo kiongozi ambaye anajiona kama kama kiongozi wa mapinduzi anayepigana dhidi ya ukoloni wa Magharibi. (mabeberu).
My take: Huu ni mwanzo tu siku si nyingi ataanza mauaji ya wapinzani wake na wananchi wenye mawazo mbadala hawatasalimika!

Source: Captain Ibrahim Traoré says Burkina Faso must 'forget' about democracy
Lilikuwa suala la muda kuonyesha makucha yake

Hata Idd amini alianza na wazungu na wahindi Waganda wakashangilia
Ghafla zamu Yao ikafika ikawa ni kilio na kusaga meno

Ajifunze Kwa Ghadafi
 
Wengi waliambiwa lakini hawakusikia. Rais wenu aliyekuwa ''mfano wa kuigwa wa Afrika'', tayari keshalewa madaraka.

Nukuu: ''Demokrasia inaua na watu wa Burkina Faso lazima wasahau kuhusu hilo” Kapteni Ibrahim Traoré, ameiambia televisheni ya serikali ya nchi hiyo.

Kapteni Ibrahim Traoré, ambaye alichukua mamlaka katika mapinduzi ya kijeshi miaka mitatu iliyopita, alidai kwamba Wafrika wengi hawataki mfumo wa demokrasia na kwamba Burkina Faso ina njia yake mbadala, lakini bila kutoa maelezo zaidi ni njia ya aina gani

Traoré awali aliahidi kurejesha utawala wa kidemokrasia ifikapo Julai 2024, lakini miezi miwili kabla ya tarehe hiyo, alitangaza kuwa junta itaongeza utawala wake kwa miaka mingine mitano.
Lakini kama kuonyesha kuwa mwafrika hajafikia level ya kujiongoza, mnamo Januari, mamlaka ilitangaza marufuku ya vyama vyote vya siasa kama sehemu ya mpango wa “kujenga upya taifa.”

Katika mahojiano aliyfanya Alhamisi usiku, Traoré alisema: “Watu wanahitaji kusahau suala la demokrasia. Demokrasia si kwa ajili yetu. Tazama Libya, hii ni mfano halisi,” alisema huyo kiongozi ambaye anajiona kama kama kiongozi wa mapinduzi anayepigana dhidi ya ukoloni wa Magharibi. (mabeberu).
My take: Huu ni mwanzo tu siku si nyingi ataanza mauaji ya wapinzani wake na wananchi wenye mawazo mbadala hawatasalimika!

Source: Captain Ibrahim Traoré says Burkina Faso must 'forget' about democracy
Trump tafadhali njoo umnyakue

Nilijua Mwafrika ni laana. Atapinduliwa kama alivyopindua
 
Ukweli waafrika democracy hatuiwezi sasa mfano pale Uganda kwa museven utasema kuna democrasia! Au hapa bongo utasema tuna demokrasia c bora tuamue kuvunja vyama kuwe na wafalme tu
 
Huyo jamaa hakuwahi kuwa mfano wa kuigwa.

Ila alikuwa msanii mzuri..
 
Alijua kutuvutia kijana!🙌🏾
 
Demokrasia ni namna unatafsiri wewe ila ukisema ufate ya western countries unaingia cha kike mfano ni China hawana hiyo demokrasia ya western ila inamaendeleo sana.

The same applied to udictator ni namna unatafsiri wewe au nchi yenu n not kama western countries zinaforce wote waamini hivyo,mfano Magufuli,Ghaddafi,Xi jingpin,Putin
 
Ni ngumu sana kumuelewa jamaa lkn ukweli ndo huo demokrasia sometime is demoghasia.
Demokrasia siyo kubadilisha uongozi tu au vyama vingi kama tulivyokaririshwa na wamagharibi. Demokrasia ni utekelezaji wa kile mnachokubaliana wote kwa pamoja(katiba), kuheshimu maoni ya wengine na kutoa haki kwa raia. Ikiwa nyie mtakubalina kuwa sisi nchi yetu ni ya chama kimoja na uongozi wetu tunataka uwe wa kurithishana na mkaamua iwe hivyo na viongozi wakatii hayo na kuyafuata hiyo ni demokrasia
 
Mkuu mbona unawasingizia wana Magharibi? Hawajawahi kusema hata siku demokrasia ni kubadilisha viongozi au vyama. Hizi ni janja za kina Samia. Demokrasia ni neno pana lenye vipengele vingi. Mihimili ya uongozi inakuwa huru. Viongozi wanachaguliwa na kuwajibishwa kwa uhuru etc.
 
Demokrasia ni ideology tu sio lazima kila taifa lifuate huo mfumo
Unaweza kuwa na mfumo wa vyama na usiwe na demokrasia (eg Tanzania) na unaweza kuwa na mfumo wa chama kimoja lakini ukawa na demokrasia, yaani wananchi wakawa na uhuru wa kuchagua na kuwajibisha viongozi, mihimili ya ya dola ikajitegemea, sera za nchi zikapangwa kwa uwazi etc. Tatizo la Traore ni kuwa anaondoa kabisa kile kipengele cha ''kuchagua'' na kujisimika yeye kuwa ni alfa na omega. Haonyeshi mbadala wa demokrasia ya Magharibi anayopinga na badala yake anaona yeye ndiye anafaa kuwa kiongozi.
 
Ukweli waafrika democracy hatuiwezi sasa mfano pale Uganda kwa museven utasema kuna democrasia! Au hapa bongo utasema tuna demokrasia c bora tuamue kuvunja vyama kuwe na wafalme tu
Indeed
 
Democracy ni illusion

Tazama anachokifanya trump now days

Ndio utaelewa kwamba democracy ni illusion Jana tu waziri wa vita ametoka kuwafukuza kazi mageneral kibao wa Jeshi kisa tu mageneral hao wamepinga uamuzi wa trump kuivamia Iran

So democracy ni kichaka Cha wajanja wachache kwaajili ya upigaji
 
Democrasia inatengeneza kikundi cha wahuni wachache wamiliki nchi kwa kuiba kira.
Kwani democracy ni kupiga kura pekee? Mi nadhani democracy sio tu kupiga kura na watu kupokezana uongozi wa nchi. Traore anatakiwa kuja na mfumo mwingine wa uongozi ambao utakuwa inclusive kwa wananchi wote wa Burkinafaso, sio kuleta habari za one man show.
 
Back
Top Bottom