adriz de mbusii
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 16,786
- 37,803
Nimefurahi sana upumzike Jf kidogoKweli kabisa, hao jamaa hatujawahi kuiva chungu kimoja.
Nimefurahi sana upumzike Jf kidogoKweli kabisa, hao jamaa hatujawahi kuiva chungu kimoja.
Inaonekana unaishi maporini kiasi kwamba hutambui Tz kunawatu wanafanya shughuri za kimaisha masaa 24, sembuse saa 7 usiku ambayo ni mwanzo wa hayo masaa 20 na ma4!Saa 7 usiku unazurura hovyo ?
Hiyo ni roho ya uchawi, ikemee ndugu.Nimefurahi sana upumzike Jf kidogo
Pole sanaSalamu wakuu.
Ndani ya siku hizi mbili tatu nimekuwa na ukimya usio wa kawaida ndani ya jukwaa hili na si kawaida yangu kupotea kwa muda mrefu kiasi hicho.
Ukweli ni kwamba nilikumbwa na tukio la uvamizi usiku wa XMAS tarehe 25 December baada ya kuvamiwa na vibaka, majambalika, wakulungwa wa jiji na wazee wa ngwasuma mishale ya saa 7 usiku.
Hakuna mazara makubwa niliyapa kiafya zaidi ya kuchukuliwa kiasi cha pesa kadhaa pamoja na simu inayonipatia kiburi na jeuri ya kuzurura humu jukwaani masaa 20 na ma4.
Nawasilisha.
Nashukuru sana mkuu.Duh pole mkuu
Hatari kwa kweli, sema nilikuwa na kabia kidogo kichwani nikajisahau kabisa kama mimi ni hatari kwa afya ya binadamu, la sivyo wangeambulia manyoya.
Nashukuru sana ndugu.Pole sana
Ungempiga ngeta ya mbao yenye misumali au siku hiyo hukutembea nayo?Saa 7 usiku unazurura hovyo ?
Mimi kurudi au kutoka home saa saba usiku wala sina hofu lkn nacheza mitaa ya nyumbani kwa kuwa hakuna ambae hanifahamu na wakati mwingine wananiambia jana umepita "mida mibovu".Inaonekana unaishi maporini kiasi kwamba hutambui Tz kunawatu wanafanya shughuri za kimaisha masaa 24, sembuse saa 7 usiku ambayo ni mwanzo wa hayo masaa 20 na ma4!
Aiseee ndugu yangu ndo unaniombea kifo kabisa.Ungempiga ngeta ya mbao yenye misumali au siku hiyo hukutembea nayo?
Nashukuru sana ndugu.
Ebo! tear umeshapiga chimpumu ya mwaka mpya nini?Hawakukudai tendo la ndoa mkuu?