Recent content by jumamchana

  1. J

    Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

    Mkuuu napenda kweli kujua Ni fursa gan hiyo unafany labda na mm nianzie hapo huku nikiendelea na fursa zingne Sent using Jamii Forums mobile app
  2. J

    Movie Reviews

    Huu mzigo upo wote youtube au
  3. J

    Faida za Majina ya Mungu yaliyotumika kuumba na kauli zenye nguvu na Maajabu yake ya hali ya juu

    Kaka rakim kuna mtu alinidokezea hayo majina akanambia AHAMA-SAQIQ-ALA-YAS lakin sijamuelewa
  4. J

    Menstrual cycle na birthdate

    Mm wakiume google helper Sent using Jamii Forums mobile app
  5. J

    Menstrual cycle na birthdate

    Nasemea period ya kwanza Sent using Jamii Forums mobile app
  6. J

    Kuanzia 2015 Tanzania itatawaliwa "kidikteta" Ukweli huu hapa

    Great thinker,,,tangu nimejiunga JF,, hakuna uzi ulonifurahisha kama huu. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. J

    Menstrual cycle na birthdate

    Umenifanya Nicheki,, hahah Sent using Jamii Forums mobile app
  8. J

    Menstrual cycle na birthdate

    Ushachunguza hili jambo au nao wadad hawajui Sent using Jamii Forums mobile app
  9. J

    Menstrual cycle na birthdate

    Nimejaribu kuwaza hapa,, hivi kwa mwanamke anaepata bleed kwa mara ya kwanza,, hiyo bleed inatokea tarehe sawa na tarehe yake ya kuzaliwa. Maana nimejaribu kuwauluza magirlfriend wangu sita maex na niliyenae lakin wakinipa tarehe ya mzunguko wake wa hedhi halafu nikalinganisha na birthdate yake...
  10. J

    Jinsi ya kuilock TV Stesheni ya TBC kwenye kingamuzi

    Dah,,,,, hahahahah Sent using Jamii Forums mobile app
  11. J

    MAAJABU: Mtoto mdogo afufuliwa Moshi, akutwa na ulimi mrefu, Mama azungumza

    Weka picha,, bhana haya mambo yanakuwaga uongo mwingi Sent using Jamii Forums mobile app
  12. J

    Kuna siri gani kwa wahindi

    Hujafika ATOZ arusha ukawaona mambo yao ndo hivyo hivyo,,, kuwakandamiza wafanyakazi na kuwapigiza kazi nyingi Sent using Jamii Forums mobile app
  13. J

    CRDB wamezuia shilingi elfu kumi kwenye akaunti yangu! Nawezaje kuipata?

    Kitambo sana nilivunja kadi yao,, Hawa jamaa wamekaa kiwiziwizi mm walinibambikiza deni la laki moja eti wanadai nilidraw hela katika akaunti yangu wakati haina hela kwa hiyo ikaweka negative,, jaman hivi kwa akili ya kawaida hili linawezekanaje,,,,, tulipelekeshana wakanipa hela yangu baada ya...
  14. J

    Mamilioni ya wavenezuala "Chavistas" waandamana kuilaani Marekani na kumsapoti Rais Maduro

    habari za muda huu wana jamii forum naomba ufafanuzi kidogo kwann trump angetumia nguvu kubwa sana kulazimisha maduro apokee msaada wake wakati maduro mwenyew kakataa,, lakin pia ukizingatia trump anachangisha hela kwa ajili ya ujenz wa ukuta na mexico,, Sent using Jamii Forums mobile app
  15. J

    Ile dhana ya wanyonya damu ilikuwa ni kweli?

    Nadhan hii iliitwa wanyonya damu,, kwa kile kilikuwaga kinatokea watu kutekwa na kuchunwa ngozi Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom