Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,101
Kila MTU akijiajiri nani atakuwa mfanya kazi?!
Duniani kuna makundi mawili tu ya binadamu yaani watawala na watawaliwa ukatae ukubali ndio hivyo!
Utakuta MTU ni dereva wa daladala mzuri sana na siku ukimnunulia gari yake binafsi ndani ya miezi kadhaa atakuja kuomba kazi tena
Sent by Diaspora

huu ni wakati wa kujiajiri na sio kumtegemea kuajiriwa.. Maboss wanadharau mno!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent by Diaspora