Jinsi ya kuilock TV Stesheni ya TBC kwenye kingamuzi

AZAM Nataka kuifuta kabisa mkuu
Unatumia king'amuzi gani mkuu!?? Unaweza kuifuta kabisa hata kwenye orodha ya chennel zilizopo kwenye kisimbusi chako au unaweza kuizuia tu kwa password mtu mwingine akitaka kuiangalia mpaka aweke number za Siri..!!

Hiyo inakusaidia hata kwa watoto km huwa kuna vipindi hupendi waviangalie unavizuia kwa password! Niambie kisimbusi gani unatumia na uniambie km unataka kuifuta kabisa au kuizuia!

Sent using Jamii Forums mobile app

Cc_Zero IQ
 
Chai
Mi TBC imenivunjia Tv zangu flat karibia saba hivi..

Yaani mwanangu akirudi shuleni akikuta House girl kaweka hiyo Chanel anakasirika anashindwa kuzima kwa kutumia remote anajikuta anaenda kung'ofoa waya ukutani kwa hasira.

Sasa ile inapelekea TV kudondoka na kupasua. Kwa vile najua uchungu alonao huwa namsamehe....

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sajili DSTV yako Seychelles. Utakua umefuta tatizo once and for all.
Ingia link ifuatayo kwa maelekezi zaidi. Tbccm/policcmhtml.seychelesdstv.sy
 
TBC kimekuwa kituo cha hovyo sana!.. Yani vipindi vyote lengo ni kuisifu 'serikali ya awamu ya tano' na 'chama cha mapinduzi'

Vyombo vya habari vya CCM mbona vipo?
Wajitathmini,wachukue hatua!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Juzi kati walionesha live mechi ya timu za majeshi pale uwanja wa uhuru! Nilichoshuhudia ni kamera moja kutumika kuonesha uwanja mzima..
hakuna score board wala kuonesha dakika, Kwakuwa ilikua saa 12 kasoro mida ya jioni kwa kutumia uzoefu nilijua itakua kipindi cha pili.
Substitution ilifanyika kwa kuambiwa tu alietoka na anaeingia!!
Yote kwa yote niwapongeze wafanyakazi wa TBC kwa moyo wa uzalendo hata tunapoangalia vipindi vyenu huwezi kuona kama mnasononeka moyoni
 
Unatumia king'amuzi gani mkuu!?? Unaweza kuifuta kabisa hata kwenye orodha ya chennel zilizopo kwenye kisimbusi chako au unaweza kuizuia tu kwa password mtu mwingine akitaka kuiangalia mpaka aweke number za Siri..!!

Hiyo inakusaidia hata kwa watoto km huwa kuna vipindi hupendi waviangalie unavizuia kwa password! Niambie kisimbusi gani unatumia na uniambie km unataka kuifuta kabisa au kuizuia!

Sent using Jamii Forums mobile app


Mimi naomba natumia DSTV utakuwa umenisaidia sana asante mkuu
 
Naomba nielekezwe jinsi ya kulock TV stesheni ya TBC kwenye kingamuzi,

Nina wadogo zangu 2 watakuja kunitembelea kwa muda wanatoka kijijini watafika kesho,sasa sitaki wafike hapa waanze kuitazama hii chaneli nataka wabadilike from the start ,

Nikiwaachia waitazame watakuwa wamefika mjini lakini bado wanagain vitu vya kijijini.

Cc_Zero IQ
Eakikuelekeza naimba unitag mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom